Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,933
- 9,034
Bila hata salaam.....maana nimekwazika mpka pale kwenye kapoint ka mwisho kabisa.
Kuna mzee mmoja hapa ni mpangaji mwenzangu.....lkn yeye kapanga vyumba vitatu....
Ni mtu mzima yani 50+ hvi...,, mpka jana alikua anaishi na mke wake ambaye kwa madai yao walioana 1988 na wamezaa watoto wanne na kuishi pamoja mpaka leo.
Mtoto wake wa kwanza anamiaka 31 wa pili wa pili 27+ watatu 24 huyo wa mwisho 20+......wawili wa kwanza wanajitegemea tayar kimaisha.
Sasa kituko ni hiki.....
Huyu mzee kumbe alikua na kadem huko alikokua anaenda kila mwaka kusimamia mashamba yake bhanaaa...sasa kukuru kakara akakapa ujauzito hako kadem.
Kwao ikabidi wamwambie mzee itabidi uoe na kibaya zaid huwa anawadanganya kwamba yeye anahela kinoma.
Sasa mke wake akapata taarifa ya yote yaliompata mmewe....akaumia lkn mwishl akaona sio kesi sana.
Sasa kituko kilipokolea zaidi ni hapa!!!!
Mzee kaamua kweli kumchukua yule mwanamke lkn cha ajabu kamuweka kwenye nyumba moja na mke mkubwa....!!!! tena kamleta huyo demu huku akimkashfu sana mke wake mkubwa na maneno machafu kibao.....""et mara ooohh nimeamua kutafuta amani ya moyo mana sku zote sikua na amani kabisa katka kuish kwangu na ww""
Cha ajabu hako kabinti kana miaka 22 tu jamani....na mtoto mdgo wa wiki moja mgongoni kalozaa na mzee wa miaka 50.
Sasa najiuliza hivi haka kabinti kamerogwaaa au ndo kanampenda sana mzee mpka kukibali kuishi ndani ambamo na bimkubwa yupo humo humoo??? mana sio ustaarabu.....!!!!
Alafu naamka asubuh huyu mama ananambia et kamemnunia mke mwenzake!!!!!
kinachoniuma huyu mzee alishamletea mke wake wadudu ambao aliwachukua huko wapi sijui kipindi anafanya kazi zake za kusafiri safiri......and it is obvious kwamba hata haka katoto amekagawia wadudu tayar.....
Daaaaahhhh!!!!! wanawake poleni sana.....