don williama
Member
- Dec 7, 2015
- 48
- 72
Wadau wapenzi wa Clouds radio, hivi adha ninayoipata na nyie mnaipata? Yaani naskiliza radio hapa muda wa nusu saa tunasikiliza matangazo tu.
Yaani tangazo linachukua dakika tano, wakirudi bado wanafanya mention alafu baada ya mention ya tangazo wanapiga tangazo tena.
Yaani inakua tangazo juu ya tangazo kudadeki bora mubadilize tu jina la radio mjiite MATANGAZO FM.
Hakuna hata radha yoyote ya kuwasikiliza.