Hivi ninaweza kupata usafiri wa magari ya magazeti?

mtvbase

JF-Expert Member
May 22, 2014
1,243
561
Ninatoka kazini jioni ijumaa hii lakini natakiwa kuwa moshi jumamosi asubuhi saa 2, je kuna uwezekano nikapata usafiri wa magari ya magazeti
 
unakaribia kufa nini mkuu maana naona unakiita kifo. Kama umeyachoka maisha kapande yale magri maan ni zaidi ya air force one
 
Ninatoka kazini jioni ijumaa hii lakini natakiwa kuwa moshi jumamosi asubuhi saa 2, je kuna uwezekano nikapata usafiri wa magari ya magazeti

Mkuu ,huo usafiri sio salama sana kama uko ok chukua fastjet ya jioni
 
Ukipanda magari yale uhakika wa kufika ahera ni mkubwa kuliko kufika mahali ulipokusudia 70% ni kufika ahera na 30% ndo uhakika wa wewe kufika Moshi...Kama unatoka Dar heri utumie usasafir wa mafuso na ukitoka jion huko asubuh upo Moshi
 
Nenda Ubungo pale Oilcom, ila uwe waaga kabisa maana wale watu wanakimbiza zile gari
 
Ukipanda magari yale uhakika wa kufika ahera ni mkubwa kuliko kufika mahali ulipokusudia 70% ni kufika ahera na 30% ndo uhakika wa wewe kufika Moshi...Kama unatoka Dar heri utumie usasafir wa mafuso na ukitoka jion huko asubuh upo Moshi
 
Ninatoka kazini jioni ijumaa hii lakini natakiwa kuwa moshi jumamosi asubuhi saa 2, je kuna uwezekano nikapata usafiri wa magari ya magazeti
Mkuu si upande ndege ya jioni au jumamosi asubuhi?!
 
Ninatoka kazini jioni ijumaa hii lakini natakiwa kuwa moshi jumamosi asubuhi saa 2, je kuna uwezekano nikapata usafiri wa magari ya magazeti

Mkuu gari za kusafirisha magazeti, au zinatozoa samaki bwawani kupeleka mjini, hizi kabla hujapanda nakushauri utubu dhambi zako.
 
Ninatoka kazini jioni ijumaa hii lakini natakiwa kuwa moshi jumamosi asubuhi saa 2, je kuna uwezekano nikapata usafiri wa magari ya magazeti
Mkubwa nashangaa kuona watu wengi uelewa wao ni mdogo sijui shule au kuzaliwa?
Wote katika colomn hii hakuna aliye kujibu swali Niko DRC mzee lakini ntakupa ramani.
Enda ubungo traffic light Morogoro /Sam Nujoma pale Petro Station kuanzia saa 5:00 usiku utapata gari ya magazeti.
IT ni kubahatisha sababu gari kushuka Port of Dar na kuchenguka Chalinze is not a major common road unless special convoy to Nbi Exit Namanga pia haiwezi shuka DaR aseme anaexit Holili huyo ni mwendawazimu.
Anaezungumzia ahera huyo ni mpungufu wa mawazo, sababu hakuna ajuae siku yake watu hufia hata usingizini.
Safiri salama mzee
 
Back
Top Bottom