hivi nikweli hizi kozi zimerudi UDOM

x - mas

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
915
598
habari zenu wanajamvi! nimesikia tetesi kuwa kozi hizi zifuatazo kuwa zimerudishwa:
dip. ya ict with education
dip.ya education in primary school
dip.ya childhood.
kwa mwenye tunaomba tushee ikiwezekana tujuzane na source.
 
Mkuu km unazungumzia hizo programme toka College of Education_CoED kwa ufupi tu CoED kwa sasa hawachukui diploma yoyote ile...

kuna mwalimu amemaliza mwaka jana hapo CoED anasema kwamba "siku za nyuma kuna watu wa UDOM walipita kazini kwao na kuwahoji mambo kadhaa kuhusu kozi tajwa hapo juu moja ya maswali waliyoulizwa ni kwa namna gani kozi hizo zimewanufaisha na je kuna haja ya kuzirudisha."
sasa jana huyo mwalimu katoa taarifa kuwa kozi hizo zimerejeshwa UDOM, mimi nikajaribu kuangalia kwenye tovuti ya UDOM sijaona hicho kitu.
 
Hata kwangu pia...nimetizama list ya diploma zote kwa mwaka Wa masomo 2018/2019 HAZIPO
 
kuna mwalimu amemaliza mwaka jana hapo CoED anasema kwamba "siku za nyuma kuna watu wa UDOM walipita kazini kwao na kuwahoji mambo kadhaa kuhusu kozi tajwa hapo juu moja ya maswali waliyoulizwa ni kwa namna gani kozi hizo zimewanufaisha na je kuna haja ya kuzirudisha."
sasa jana huyo mwalimu katoa taarifa kuwa kozi hizo zimerejeshwa UDOM, mimi nikajaribu kuangalia kwenye tovuti ya UDOM sijaona hicho kitu.
sa siungemuuliza huyo aliyekuambia
 
Back
Top Bottom