hao jamaa hawana huruma kabisa
hao jamaa hawana huruma kabisa
hao jamaa hawana huruma kabisa
Watakwambia ruzuku ya chama ndiyo yenye kufanya haya, na chama si serikali. Ila ikifika kwenye kujisifu utasikia "serikali ya CCM...", serikali ya CCM my foot.
Wakuhurumie wewe subutu.
Wanajijali wao tu raia mtajijua!