Hivi ni vioja

Hivi ni vioja

Aman Junior

New Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
4
Reaction score
3
Ukurasa wa mwisho wa hotuba ya Waziri mkuu (Mh.Pinda) wakati akiomba bunge lipitishe bajeti yake na ya TAMISEMI alisema hivi:

"Halmashauri zote zinaombewa jumla ya Shilingi Trilioni Nne, Bilioni Mia Mbili Thelathini na Moja, Milioni Mia Nne Arobaini na Mbili, Mia Tisa Sabini na Nne Elfu (4,231,442,974,000).....

..... Kati ya fedha hizo, Shilingi Trilioni Tatu na Bilioni Tisini, Milioni Mia Tatu Sabini, Mia Tatu na Nane Elfu (3,090,370,308,000) ni za Matumizi ya Kawaida na Shilingi Bilioni Mia Sita Themanini na Mbili, Milioni Mia Sita na Mbili na Arobaini na Nne Elfu (682,602,044,000) ni za Miradi ya Maendeleo."

UNAELEWA HII INAMAANISHA NN?
Hii inamaanisha kuwa Sh.3,090,370,308,000/= sawa na 73.03% ni za matumizi ya kawaida kama kunywa chai, safari, warsha, semina, posho za vikao etc. Na Sh.682,602,044,000/= sawa na 26.96% tu, ndio za miradi ya maendeleo.

Yani watu watatumia 74% ya bajeti ili wazalishe 26%. Nahisi bado hujanielewa. Yani ni sawa na kumlipa mtu laki moja ili akufanyie kazi ambayo itakuingizia elfu 10..!

Bado nahisi hujaelewa. Ni hiviiii...... Ni sawa na ununue simu ya elfu 25, halafu uiwekee screen protector ya laki tatu.!!
KARIBU TANZANIA.!!!
 
hallo hallo tanzaniaaaaaa... hallo hallo tanzaniaaaaaaa
 
Tukisema hii serikali imejaa majambazi unaambiwa ww ni mchochezi ,wacha tuende hivi hivi.
 
Ndio serikali yetu sasa tuipende tuitetee tuwe wazalendo ....
 
Ukurasa wa mwisho wa hotuba ya Waziri mkuu (Mh.Pinda) wakati akiomba bunge lipitishe bajeti yake na ya TAMISEMI alisema hivi:

"Halmashauri zote zinaombewa jumla ya Shilingi Trilioni Nne, Bilioni Mia Mbili Thelathini na Moja, Milioni Mia Nne Arobaini na Mbili, Mia Tisa Sabini na Nne Elfu (4,231,442,974,000).....

..... Kati ya fedha hizo, Shilingi Trilioni Tatu na Bilioni Tisini, Milioni Mia Tatu Sabini, Mia Tatu na Nane Elfu (3,090,370,308,000) ni za Matumizi ya Kawaida na Shilingi Bilioni Mia Sita Themanini na Mbili, Milioni Mia Sita na Mbili na Arobaini na Nne Elfu (682,602,044,000) ni za Miradi ya Maendeleo."

UNAELEWA HII INAMAANISHA NN?
Hii inamaanisha kuwa Sh.3,090,370,308,000/= sawa na 73.03% ni za matumizi ya kawaida kama kunywa chai, safari, warsha, semina, posho za vikao etc. Na Sh.682,602,044,000/= sawa na 26.96% tu, ndio za miradi ya maendeleo.

Yani watu watatumia 74% ya bajeti ili wazalishe 26%. Nahisi bado hujanielewa. Yani ni sawa na kumlipa mtu laki moja ili akufanyie kazi ambayo itakuingizia elfu 10..!

Bado nahisi hujaelewa. Ni hiviiii...... Ni sawa na ununue simu ya elfu 25, halafu uiwekee screen protector ya laki tatu.!!
KARIBU TANZANIA.!!!

Hapa inanikumbusha record ya Roma 2030.tumekua na tunayaona sasa
 
Spika: Wanaosema NDIYO
CCM: NDIYOOOOOOOOOO.
Yaani CCM; yapo majizi, yapo pia mambumbu, yapo ambayo hata budget hayakusoma kabisa,...
 
Hapana!!! mh hapana siamini!! Nooooooo?! Kwa hiyo unamaanisha ni sawa na kutumia elfu ishirini kushona ndala ya elfu mbili mia tano! Noooo!!!
 
Back
Top Bottom