Hivi ni vibaya

Rahma2

Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
40
Reaction score
8
Kujenga uhusiano wa kimapenzi na mtu uliyefahamiana naye kupitia mtandao?
 
Inategemea maana mahusiano ni popote, so long as mkishafahamiana kupitia mtandao mtaonana physically ili kuweka mambo sawa na mkaridhiana.
 
Hamna ubaya wowote.
Chamsingi ni
  1. Kuijua tabia yake.
  2. Kujua nini anapendelea na nini hapendelei.
  3. Kumchunguza kwa kina kabla haujajiingiza katika dimbwi la mapenzi.
 
Huwa sio honest wkt mwingi. Wengi huwa kwenye relationship na sio truthful. Namfahamu mkaka ambaye hutumia FB kutongoza wanawake na ameshatongoza zaidi ya 50 na wengine wako kwenye 50s na ajabu wote wanasema wako single. Yeye mwenyewe huwa hatoi taarifa za kweli. Nadhani society yetu imekuwa na mporomoko wa maadili na social networks are to be used with caution.
 
Kama mmekubaliana na mkakutana face to face still mkaridhiana kwa dhati ya mioyo yenu, what wrong.

Ila basi mkumbukeni Mungu wenu
 

Theodora
Karibu mama!! I missed you
 
Last edited by a moderator:
sio vibaya.....
ila kama mlivokutana mtandaoni na mkiachana atarudi mtandaoni kukusema!!!!!!!!!
 
Angalia tu usije kulia:biggrin:
 
mi nakalibia kufunga ndoa na mwanamke nilie fahamiana nae kupitia mtandao,na ni benge la futa....! hivyo si vibaya ila muwe tayali kupima...!
 
unogopa nini? mbona hii kama kukutana na ntu kwenye daladala au harusini au msibani na mkaanzisha mahusiano....
 
Igweeeeee!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kujenga uhusiano wa kimapenzi na mtu uliyefahamiana naye kupitia mtandao?

Mitandao haibadilishi mtu kuwa mtu ila imejaa uongo mwingi wa kimtazamo, nashauri kabla ya kuudondosha moyo wake umwone japo ujiridhiki na muonekano wake...tehe, tehe, teheeeeeeeeeeeee; Yasije kufika ya jamaa yangu wakati tunasoma alikutana na demu kwa njia ya simu akamtumia nauli waje kula maraha Dar frm Tanga kufika demu sawa na mama yake kamtelekeza ubungo ila aliporudi tulimshauri akampelekee lau nauli ya kurudia kwao. Usidanganywe na picha au avatar za watu siku ukiwaona live utatamani kugeuka chawa usionekane.
 

nashukuru mdau!
 
Naona hakuna ubaya endapo mtachunguzana vzr na kuridhiana kuanzisha mahusiano hayo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…