Waje bakita hapa waweke sawa
Hakuna haja ya bakita,neno sahihi ni KAHARIBU.
Chanzo: mm mwenyewe,hkl 2008.
Waje bakita hapa waweke sawa
Team rekebisha ruga...
Huwa nachukia sana ninaposoma na kukutana na maneno haya
Lula badala ya Rula
Mologolo-morogoro
Foreni-Foleni
Ugari-Ugali
Kula-Kura
Nimekuwa nikijiuliza tatizo ni nini kwa watu kama hawa
Nashauri tuanze kuwapiga vita kuboresha lugha yetu ya kiswahili
Tulipiga vita X kuwa S na tumefanikiwa
Kuna mkuu anaitwa LEGE kaanzisha topic anaandika ABILIA wa makongo,Kaaribu utamu wa UZI jirekebishe MKUU
Usichukie mkuu LEGE hapa ni sehemu ya kurekebishana jombaa!
Inawezekana ni watu wavivu wa kubadilika huwezi kuwa kiongozi mkubwa wa nchi then unatumia kuongea au kuandika kwa mfano niliotoa hapo juu.
Kamwe haitatokea tukawa kundi moja ht siku moja,kuna watu hasa wa maeneo ya musoma. Kwao R haziepukiki km ilivyo kwa wasukuma wenzangu zile GA,nilikuwaga,niliendaga n.kmkuu kila mmoja na yake haupo kwenye x na li upo kwingine mwisho wa siku wote tunawekwa kundi 1 tu niwaharibifu wa lugha
hivi kibo10 unakuraga mchere???au wari??
mi napenda kirimo cha mchere na mahalage mologolo
za asubuhi rakini
hivi kibo10 unakuraga mchere???au wari??
mi napenda kirimo cha mchere na mahalage mologolo
za asubuhi rakini
Za asubuhi nzuri masai dada yahi hiyo L na R uliyoipiga hapo umeniaribu ubongo kabisa
#Teamrekebishalugha
unapotosha tatizo la R na L kwa watu wengi tunaotoka kanda ya ziwa siyo la makusudi kama unavyotaka kuaminisha watu mfano mimi kuna maneno huwa napata tabu sana ninapofika kwenye R au L na mara nyingi huwa nauliza mtu sijui ni kwanini naieleweke siyo maneno yote yenye R na L ni baadhi...
mkuu kumbuka kuna watu ambao kutokana na mother tongue zao huwa hawana baadhi ya sounds.
mfano
wachaga wachaga hawana sound Zii ila wana sound 'nsu'
hawana sound 'p' ila wana sound 'be'
waluguru hawana sound "r" ila wana 'l' n.k
nafikiri ni jambo zuri kujifunza hizi sounds lkn hatupaswi kuwalaumu na kusema ni kusudi sana manake ndivyo walivyozoea.
Mwalimu gfsonwin mchango wako uko poa.....
Kinachonikwaza sio mtu kukosea kuongea.....ni kukosea hadi kuandika....kwamba 'keyboards' zinachanganya? Au vidole navyo vinaadhiriwa na lugha mama.?
Namshukuru mwanzisha mada, ni vema tukaepuka makosa ya kizembe kwani makosa haya hatimae huwa mazoea.
Asubuhi na sio hasubuhi
Hujajibu na si ujajibu
Lori na si roli (huyu sijui hata anakua anwaza nini) nk.
Kwa mfano huyu kaandika Toyota halia inauzwa. Huu ni uzembe tu..
News Alert: Toyota halia mpya ipo sokoni
Hivi ni harusi au arusi?
Hebu au embu?
Labda kuna model mpya imetoka. Wajapani hawashindwi kitu.
Katika matumizi ya kiswahili, ili kufanya kiwe na tija tusirekebishe mtu mmoja mmoja ila jamii kwa ujumla. Mmeruhusu kiswahili kibovu kitumike kwenye matangazo ya biashara mf. jero, jiti nk. kuchanganya ndimi kumeruhusiwa mf. bure pack. Sasa mtadeal na mtu mmoja mmoja mnadhani ndio mnatatua tatizo. sisemi tusirekebishane ila kama kweli tuna nia ya dhati na lugha yetu, basi juhudi za dhati zinahitajika. nilishaweka njia za kuweza kukuza kiswahili walau kwa kadiri fulani.Huwa nachukia sana ninaposoma na kukutana na maneno haya
Lula badala ya Rula
Mologolo-morogoro
Foreni-Foleni
Ugari-Ugali
Kula-Kura
Nimekuwa nikijiuliza tatizo ni nini kwa watu kama hawa
Nashauri tuanze kuwapiga vita kuboresha lugha yetu ya kiswahili
Tulipiga vita X kuwa S na tumefanikiwa
Kuna mkuu anaitwa LEGE kaanzisha topic anaandika ABILIA wa makongo,Kaaribu utamu wa UZI jirekebishe MKUU
Usichukie mkuu LEGE hapa ni sehemu ya kurekebishana jombaa!
Inawezekana ni watu wavivu wa kubadilika huwezi kuwa kiongozi mkubwa wa nchi then unatumia kuongea au kuandika kwa mfano niliotoa hapo juu.
Yerick Nyerere
Gali au ghali...
Garama au gharama..
Katika matumizi ya kiswahili, ili kufanya kiwe na tija tusirekebishe mtu mmoja mmoja ila jamii kwa ujumla. Mmeruhusu kiswahili kibovu kitumike kwenye matangazo ya biashara mf. jero, jiti nk. kuchanganya ndimi kumeruhusiwa mf. bure pack. Sasa mtadeal na mtu mmoja mmoja mnadhani ndio mnatatua tatizo. sisemi tusirekebishane ila kama kweli tuna nia ya dhati na lugha yetu, basi juhudi za dhati zinahitajika. nilishaweka njia za kuweza kukuza kiswahili walau kwa kadiri fulani.nilimueleza mengi katika hiliCode:Yerick Nyerere
Tunatumia lisaa limoja au saa moja kufanya jambo fulani?