Umefanya vizuri kulizungumzia hilo. Mimi mwenyewe ni muislam lakini siwezi kuruhusu hawa watu watumie gia ya uislam kupata kura zetu
Prof Lipumba haongei na wananchi mpaka nyakati za uchaguzi tu!
mkuu sijakuelewa ni kama uko nje ya mada hivi.!
angekua chama tawala ungeutambua msaada wake lakini kutokana yupo upinzani mchango wake hautathaminiwa na wala mawazo yake kusikilizwa lakini ni mchumi mzuri sana
Ni Professor wa uchumi, hatumiki Tz kwasababu ya kiburi cha viongozi masikini wa fikra nchini humu!
.... Mbowe juzi juzi kabuni mbinu mbinu ya kuchangisha wafuasi nae kakopi na kupasti. Is this how Professors work?
Nakala: Kaka Mkweli
Mkuu Genecius Kaiza,
Jamaa kashindwa kuinua uchumi wa CUF wa Taifa ataweza? Tangu miaka nenda rudi CUF imekua ni chama kinachotegemea ruzuku licha ya kuongozwa na Profesa wa Uchumi! Mbowe juzi juzi kabuni mbinu ya kuchangisha wafuasi kuongeza wingo wa mapato ya chama, nae kakopi na kupesti. Is this how Professors work?
Nakala: Kaka Mkweli
Mwenye CV atuchomekee humu ndani, tuone machapisho na awards alizonazo katika medani za wasomi. Ukishaona msomi kaenda kwa siasa mara nyingi huko alikotoka amechemsha!Napenda kufahamu nini Uprofessor wa Mh Lipumba Ibrahim maaake sijawahi kusikia anafanya nini na taaluma yake hii Je?ana ushauri gani kwa serikali ya Bongo??
Nataka tu kuelewa simsemi vibaaya ni Proffesor wa ukweli namkubali lakini nataka kufahamu nini anafanya ukiondoa Uenyekiti wa Cafu.
Ahsanteni hope to get good answers from you The great thinkers
NI mtazamo tu!!!!
Mkuu Genecius Kaiza,
Jamaa kashindwa kuinua uchumi wa CUF wa Taifa ataweza? Tangu miaka nenda rudi CUF imekua ni chama kinachotegemea ruzuku licha ya kuongozwa na Profesa wa Uchumi! Mbowe juzi juzi kabuni mbinu ya kuchangisha wafuasi kuongeza wingo wa mapato ya chama, nae kakopi na kupesti. Is this how Professors work?
Nakala: Kaka Mkweli
Huyu jamaa ni mweupe kinyama yaani. Hata sijui kwanini watu wanammegea maujiko yasiyo na kichwa wala mguu. Huyu jamaa kuna siku nilikutana naye kwenye harusi ya dadangu Arusha. Basi nikamuuliza je ukipata urais utafanya nini cha kwanza. Hayo majibu aliyinipa nikabaki naduwaa tu kama kweli huyu ni Profesa au Konjesta. Jamaa kichwa cheupe tu huyo mbona