Hivi ni upi U - professor wa Mh Lipumba? Sina shaka na elimu yake lakini.....

Huyu jamaa ni mweupe kinyama yaani. Hata sijui kwanini watu wanammegea maujiko yasiyo na kichwa wala mguu. Huyu jamaa kuna siku nilikutana naye kwenye harusi ya dadangu Arusha. Basi nikamuuliza je ukipata urais utafanya nini cha kwanza. Hayo majibu aliyinipa nikabaki naduwaa tu kama kweli huyu ni Profesa au Konjesta. Jamaa kichwa cheupe tu huyo mbona

alikujibu nini mwali? tuambie na sie tusikiee?
 
Hapo ndipo utawajuwa wazanzibar walivyo na akili ya kivyao.Lipumba pamoja na dini yakee kama ya hawa jamaa,pamoja na kuwa ni mwanachama wa chama chao+chama mume wao CCM bado anaonekana hajafikia kukaa meza ya Mamwinyi.Hawa jamaa ni mabomu kwelikweli wao na Mtatiro.Miili Mikubwa ila sauti zao hazina staha,papara zao hadi mimate inawatoka katika majukwaa kunaonyesha sana uwezo wao kifikra ulivyo na matatiozo.Ndio maana hawajaweza fanya chaguo na maamuzi sahihi ktk siasa,chama kiwafaacho etc.
talatibu bwana udini huo!
 
talatibu bwana udini huo!

Sidhani kama kuna udini...hapa ni ulinganifu wa Lipumba na wazenj na kuona ukaribu wao zaidi ya wengine ila bado hawajamubali kihivyo.Sidhani kama nimeifanya dini ya mtu kuwa chini au juu au kuinyima nafasi.
 
Umefanya vizuri kulizungumzia hilo. Mimi mwenyewe ni muislam lakini siwezi kuruhusu hawa watu watumie gia ya uislam kupata kura zetu

Prof Lipumba haongei na wananchi mpaka nyakati za uchaguzi tu!
Acha udini wewe uislamu wako na CV ya Lipumba vina uhusiano gani,?
 
Back
Top Bottom