Baba Hellen
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 763
- 91
Lowassa alianza kuvunja taratibu za chama tangu muda mrefu tu,jina lake tumishalikata,anatudhalilisha sisi wanachama wa CCMSijui nini kinachoendelea ndani ya ccm nikupuuzwa kwa viongozi wakuu ndani ya chama au ni baadhi ya wanachama kujiona wao ni muhimu sanaa hata wakifanya kosa hakuna wakumzuia. Watangaza nia baadhi ni jeuri sana hii inatoa picha jinsi wasivyofaa kupewa hatamu yakuongoza nchi hii ni tishio kwa jamii yetu.
Mkuu ili kuwapata hao wadhamini si lazima ufanye kampeni? Au unawakuta wapo tayari chama kimekuandalia? Maana juzi huko katavi Nyalandu alikosa wadhamini nadhani hakufanya kampeni kuwapata!!Nikweli hili ni tatizo
makongoro ndio mdudu gani???Na huyu mtu wa hivi ni hatari sana akipewa uongozi, Makongoro alisema mtu anayeamua makusudi kuzivunja kanuni na taratibu wakati alihusika kuzitunga huyu mtu akipewa uongozi atataka hata kuibadiri katiba ili atawale kidikteta ..na huu sasa ndo ukweli unatimia
Kiongozi wa ccm kuweni makini Na taratibu za chama sheria inamtaka mtu apate wadhamini 30 tu kila mkoa ili kwa mikoa 15 apate wadhamini 450 Na ndio fomu zinavyoonyesha swali kwanini mtu anatafuta wadhamini zaidi ya sheria inavyotaka huo ni ukiukwaji wa makusudi wa sheria za chama ni imani ya wanachama kuona wote walioenda kinyume Na sheria wanachukuliwa hatua vinginevyo tunahamia ukawa

Lowassa situkwambwa ni jeuri bali ni mkiukaji mkubwa wataratibu kwahili linalo endelea ndani ya chama ni kuidhihirishia jamii ya wa Tanzania kuwa ccm inakufa
Mkuu ili kuwapata hao wadhamini si lazima ufanye kampeni? Au unawakuta wapo tayari chama kimekuandalia? Maana juzi huko katavi Nyalandu alikosa wadhamini nadhani hakufanya kampeni kuwapata!!
makongoro ndio mdudu gani???