CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 853
Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani baada ya bara la Asia, na ina zaidi ya nchi 50.
Kati ya nchi hizo, zipo zilizowahi kushuhudia mapinduzi ya kijeshi na zipo ambazo hazikuwahi kushuhudia kitu kama hicho.
Aina ya watu Afrika, wanafana kwa kiasi kikubwa kitamaduni ila wanatofautina kielimu, kiuchumi na kihistoria.
Kutokana na tofauti za kiuchumi, kielimu na kihistoria, unadhani ni nchi gani Afrika ni ngumu kuiongoza na kwa sababu gani?