Kwakuwa hamna akili hamjiulizi kwanini chuki imetamalaki ktk nchi hiiNikikumbuka kauli za kifedhuli na dharau alizozitoa Mbowe dhidi ya hayati Magufuli,akijua kabisa marehemu hawezi jitetea tena ?, kiukweli ilisikitisha sana kwa waungwana wastaarabu.
Mbowe alishangiliwa sana na wafuasi wake ,na waliomtuma cha kuongea.
Hakika malipo ni hapa hapa duniani,naye anadhalilika jela na hajajua mwisho wake ni upi hapa duniani, kiukweli hakuna ajue atamaliza kwa heshima au kwa dharau.
Je Mbowe alipima kauli zake dhidi ya hayati Magufuli?, akijua marehemu kalimaliza mwendo na asingeweza kujitetea,je?,tukisema Mbowe alipanga kuipa maumivu familia ya hayati na jamaa zao nitakuwa nimekosea?
Watanzania mdomo huponza kichwa siku zote,na mabalaa vilevile unaweza jiletea mwenye kwa kupenda
Namtakia Mbowe maisha mema na marefu apate kujifunza hii dunia jinsi ilivyoitwa na wahenga kwamba ni uwanja wa fujo
Kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti,unyelileKwakuwa hamna akili hamjiulizi kwanini chuki imetamalaki ktk nchi hii
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Chuki iko mitandaoni. Huku mitaan ni full love na shangwe.Kwakuwa hamna akili hamjiulizi kwanini chuki imetamalaki ktk nchi hii
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Akili umebaki nayo kiasi gani?Kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti,unyelile
Umefanya utafiti au unademka tu?Chuki iko mitandaoni. Huku mitaan ni full love na shangwe.
Yule Hamza alikuwa mitandaoni au vipi Boss?Chuki iko mitandaoni. Huku mitaan ni full love na shangwe.
Ndiyo utafiti upo. Mtaani tunapeana madili bila kujali ukabila, dini wala jinsia. Ww hiyo chuki uisemayo una utafiti?
Akina Hamza wapo wangp? Maana love ni kubwa kuliko HamzaYule Hamza alikuwa mitandaoni au vipi Boss?
Amini nikwambiayo,Chuki iko mitandaoni. Huku mitaan ni full love na shangwe.
Marehemu meko alikua kichaa na file liko mirembe,mdogo wake chizi kabisa chato wanajua hilo,istoshe covid ilimpeleka alipostahili kuishi na mashetani wenzake,mazafantaNikikumbuka kauli za kifedhuli na dharau alizozitoa Mbowe dhidi ya hayati Magufuli,akijua kabisa marehemu hawezi jitetea tena ?, kiukweli ilisikitisha sana kwa waungwana wastaarabu.
Mbowe alishangiliwa sana na wafuasi wake ,na waliomtuma cha kuongea.
Hakika malipo ni hapa hapa duniani,naye anadhalilika jela na hajajua mwisho wake ni upi hapa duniani, kiukweli hakuna ajue atamaliza kwa heshima au kwa dharau.
Je Mbowe alipima kauli zake dhidi ya hayati Magufuli?, akijua marehemu kalimaliza mwendo na asingeweza kujitetea,je?,tukisema Mbowe alipanga kuipa maumivu familia ya hayati na jamaa zao nitakuwa nimekosea?
Watanzania ,mdomo huponza kichwa.siku zote, mabalaa vilevile unaweza jiletea mwenye kwa kupenda
Namtakia Mbowe maisha mema na marefu apate kujifunza hii dunia jinsi ilivyoitwa na wahenga kwamba ni uwanja wa fujo
Haihitaji utafiri,chuki IPO wazi tuNdiyo utafiti upo. Mtaani tunapeana madili bila kujali ukabila, dini wala jinsia. Ww hiyo chuki uisemayo una utafiti?
Ugaidi haulipi mkuu mwisho wake mbaya sana! Angalia anavyoisoma namba ! Kale kamsemo never never again kamepotea! Jiepushe sana siku zote na kesi za jinaiNikikumbuka kauli za kifedhuli na dharau alizozitoa Mbowe dhidi ya hayati Magufuli,akijua kabisa marehemu hawezi jitetea tena ?, kiukweli ilisikitisha sana kwa waungwana wastaarabu.
Mbowe alishangiliwa sana na wafuasi wake ,na waliomtuma cha kuongea.
Hakika malipo ni hapa hapa duniani,naye anadhalilika jela na hajajua mwisho wake ni upi hapa duniani, kiukweli hakuna ajue atamaliza kwa heshima au kwa dharau.
Je Mbowe alipima kauli zake dhidi ya hayati Magufuli?, akijua marehemu kalimaliza mwendo na asingeweza kujitetea,je?,tukisema Mbowe alipanga kuipa maumivu familia ya hayati na jamaa zao nitakuwa nimekosea?
Watanzania ,mdomo huponza kichwa.siku zote, mabalaa vilevile unaweza jiletea mwenye kwa kupenda
Namtakia Mbowe maisha mema na marefu apate kujifunza hii dunia jinsi ilivyoitwa na wahenga kwamba ni uwanja wa fujo
Mbowe gaidi anastahili anachokipata kwa sasa ,ile style ya ujambazi kujifichia kwenye kichaka cha siasa mwisho wake umefikaMarehemu meko alikua kichaa na file liko mirembe,mdogo wake chizi kabisa chato wanajua hilo,istoshe covid ilimpeleka alipostahili kuishi na mashetani wenzake,mazafanta