hapana aisee unakluta mtu anavaa shati kubwa kuliko jeans imembana kama ngozi yake ya mwili kiatu sasa hatarHahahah mbona ndo pako orgy uku mzee kiatu hakina shidaa hatapigwa mtama uku peace tu
Kigoma kumesahaulika mkuu....pagumu sana huko aiseeee....mpaka network ni chenga tupuUmetishaa sana mzee