Mbwilimbwili
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 183
- 282
ni lini hiyo wataisha?Mpaka watu waliozaliwa 90
Waishe wabakie wa 2000 peke yao na kuendelea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ni lini hiyo wataisha?
sasa hivi hadi kuna chawa wa mama mkuuMaana sahvi maujingaujinga ndiyo yanapewa kipaumbele
Ova
Za ndani nasikia kuna mwamba yupo ndani uko mda huu anakisuka kirusi kingine chenye maangamizi mara mbili ya Corona, stay tunedTungojee corona hije labda itawamaliza
Haitokuja ITOKEE labda mwaka 2500 au mwaka 3000 uko km utakuepo pale Makumbusho kushuhudiwa uliyoyafanya kabla yao,HIVI NI LINI?
tukiamua itakua tu, niamini mimiHaitokuja ITOKEE labda mwaka 2500 au mwaka 3000 uko km utakuepo pale Makumbusho kushuhudiwa uliyoyafanya kabla yao,
Za ndani nasikia kuna mwamba yupo ndani uko mda huu anakisuka kirusi kingine chenye maangamizi mara mbili ya Corona, stay tuned
Ukiamua wewe na nani labda tuanzie hapo au unataka uanzishe NCHI yako umechoka kuishi kwenye NCHI yao?tukiamua itakua tu, niamini mimi
mimi na wewe mkuu!Ukiamua wewe na nani labda tuanzie hapo au unataka uanzishe NCHI yako umechoka kuishi kwenye NCHI yao?
Mimi sipo na wewe maana hapa nilipo naisaka beach iliyo karibu nikajitose nasikia dalili zote za kufa kufa, kwa hio ungana na wenginemimi na wewe mkuu!
Mimi nipo tayari kiletwe tu hata kesho tuwahi uko makazi mapya mkuu, huyo mbunifu asichelewe sanaKwahio na wewe utaondoka kikija hiko kilusi au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
mkuu tunaweza, sema tu kama tumekubali yaisheSasa mkuu kama mpaka leo hii bado kula yetu tu ni mtihani..hapo usiulize tunavaa nini na tunalala wapi..tunapigika haswa...! Kwa ground life ni tough sana..tutafika huko lakini kwa kuchelewa sana.
Mimi nipo tayari kiletwe tu hata kesho tuwahi uko makazi mapya mkuu, huyo mbunifu asichelewe sana
Sina cha kupoteza mkuu,Na watoto wako je