Badilisha ID yako then utapataMm mbona nimejaribu sikupata...embu waliopata waje hapa
Badilisha ID yako then utapata
^^
Jaribu bahati yako
^^
ni kweli kabisa, utakuta
mtu id yake chawote, chakulambalamba alafu anatafuta mchumba, ni ngumu
kuwapata wale wanaojitambua