Hivi ni kweli?!

Lizeal

Member
Joined
Jul 18, 2022
Posts
12
Reaction score
17
AMKA NA HII: Najua kuna kakitu wanawake wanaambiana “Ukitaka kujua kama anakupenda wewe muombe pesa kwanza kama akikupa basi yuko siriasi na wewe!”

Hapana, haipo hivyo, hata wale wanaojiuza nao wanaomba pesa na wanapewa tena nyingi tu kuliko hata walioolewa lakini hakuna upendo. Unawapoteza wanaume wengi sana kwa kutaka wahangaike na matatizo yako, si majukumu yao!

Wanakuacha kwakuwa wanakuona Mmdangaji! Wakati mwingine hata mwanaume hakuachi, lakini umemuomba pesa, kakuambia sina ila kwakua shoga yako alishakwambia kuwa kama mwanaume hakupi pesa basi hakupendi unamuamini, unamkasirikia na kumuacha.

Mwisho wa siku unakuta kila mwanaume unaachana naye kwani ni ngumu sana mwanaume kuanza kutatua matatizo yako wakati ndiyo mwanzo wa mahusiano. Utaacha wengi na utaachwa na wengi, kwakuwa nao watakuona kama vile ni mdangaji.

Kama ni kuomba, omba ukiwa na amatatizo ya kweli na kubwa zaidi akisema hapana acha kununa kama vile unamdai!
 
Aloo sio kwely mwanaume naweza kupa kila kitu na bado hakupendi its not about material mda wote ni mostly about his time ako ana tengaa kuwa na wewe
 
Aloo sio kwely mwanaume naweza kupa kila kitu na bado hakupendi its not about material mda wote ni mostly about his time ako ana tengaa kuwa na wewe
Nakubali but ni bora anipe vyote
 
Nakubali but ni bora anipe vyote
Muda upewe, hela upewe, mapenzi upewe, ulinzi upewe. Sawa, now wewe what do u give in return ambacho mwanaume haez kupata kwingine? What makes u special to deserve that?
(Na ukisema sijui natoa punani, nakuziba mabanzi hapa hapa)
 
Ila Kuna wanawake wanaujasiri, mnawezaje kuomba hela aisee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…