Marry Mdaki
Member
- Aug 26, 2022
- 25
- 23
Nimeshtushwa na chapisho linaloonesha orodha ya nchi zisizokuwa na furaha duniani.
Nilishangaa zaidi kuiona nchi yetu, lakini nilipigwa na butwaa zaidi baada ya kutoona nchi kama Sudan, Somalia, Congo, Ukraine, Urusi.
Labda ningependa kuuliza kuwa ni vigezo vipi vimetumika kupata orodha hiyo ya nchi zenye wananchi wasio na furaha duniani?