Hivi ni kweli wanasimba tunaipenda simba

Hivi ni kweli wanasimba tunaipenda simba

King j

Member
Joined
May 4, 2013
Posts
9
Reaction score
1
Jana ktk kipindi cha michezo nilimsikia mzee kilomoni akishangazwa na uamuzi wa kamati ya utendaji kumsimamisha rage kwa madai kwamba hawakufuata katiba inavyosema,kwa bahati mbaya hata katiba yenyewe haiwapi mamlaka hayo kwakuwa wao wadhamini wapo chini ya kamati ya utendaji,ndugu zangu wana simba timu haipo vizuri hebu tuungane tuondoe tatizo na tuache unafiki,ninaamini mikoni mwetu simba itasimama au itaanguka.
 
simba hizo milion 100 za kilimanjaro mtaambulia mil 1 shauri yenu, sisi tunagonga tuu tumefikisha mil 82 na ushee hivi. ha ha haa simba bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom