NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,382
- 12,941
NALIA NGWENA nimekua nikijiuliza sana kuhusu hii mitihani ya mungu inayosingiziwa kila kukicha.
Mtu kafanya zinaa kakamatwa utasikia anasema "mungu kanipa mtihani wa kunipima Imani mke wangu/mume wangu"
Shekh/mchungaji anatafuna mke wa mtu/mume wa mtu akibainika lazima ajitetee kuwa ni mitihani ya mungu.
Jitu hakifanyi kazi limelala na njaa likikaa kijiweni linasema "hii mitihani ya mungu midogo tu nitaishinda"
Hiyo ni mifano michache tu ambayo nimeamua kuitumia katika kujenga hoja nakuwasilisha swali langu
Sasa Najiuliza mungu atatoaje mitihani kwa Mtu aliyemuumba yeye na wakati anatambua kabisa huyu hapimwi??
Au kauli ya neno mitihani ni la kufarijiana tu na Mungu yupo bize na Mambo yake Ila sisis huku tunafarijiana??
Nawasilisha hoja.