Ujio wa Lowassa UKAWA bila kujali atashinda/ kushindwa Uchaguzi ni neema kwa UKAWA, maana wingi wa viti vya udiwani na wabunge vitaongezeka sana...!
Mkuu mwaka huu CCM wakipata hata wabunge 50 nitawapongeza sana.Sawasawa ingawa ni vizuri tushinde na urais
Ha ha ha, hapa Lowassa alicheza kama Maradona, mimi ningefurahi zaidi Dr Slaa nae angekuwa kwenye timu ya kumsafisha....
Sasa hata asiposhinda, nataka akamate uenyekiti wa CDM, Mnyika, Lema, Sugu tupa kule. Tunataka CCM B, kiwe chama chenye nguvu..
Daa! mkuu yawezekana kweli maana hata kauli ya lowasa na mbowe zinapingana, mbowe anasema trh 24 hadi 26 hakuna kulala lowassa anasema laleni usingizi wa pono
Huyu mtu anayejiita Johnson Mbwambo sijui ana tatizo gani na Lowassa!
Kweli Dr.Slaa kumsafisha Lowassa kingekuwa kituko cha karneHa ha ha, hapa Lowassa alicheza kama Maradona, mimi ningefurahi zaidi Dr Slaa nae angekuwa kwenye timu ya kumsafisha....