Hivi ni kweli kwamba wanaume wengi wanapenda wanawake weupe?

Bac ni hisia zako binafsi manking na hazina generalization yoyote.. Kisayansi upo chaka..
 
Waambie bana rangi ya mtume si mchezo,wamebaki kusingia eti weupe wa baridi sijui wapii


Nahisi wanaongea hayo baada ya kuwakosa, sababu wengi wakiwakosa kitakachofuata ni kejeli za maneno aliyowahi kusikia na wala hajahakiki.
 
Itakuwa ni huyo uliyenae/uliyekuwanae. Ingekuwa hivyo basi watu wasingenena kwa lugha wakiwa kwenye viuno vya wenye rangi nyeupe.

Hahahaaa sio mmoja ni kama 3 tofauti ila poa acha niendelee kufanya uchunguzi yakinifu.
 
Bac ni hisia zako binafsi manking na hazina generalization yoyote.. Kisayansi upo chaka..

Kisayansi vitu vyeupe huakisi(reflection) mwanga lakini vitu vyeusi husharabu mwanga(absorption) obviously mweusi lazima awe na joto kuliko mweupe.
 
Hahahaaa sio mmoja ni kama 3 tofauti ila poa acha niendelee kufanya uchunguzi yakinifu.


Itakuwa wewe ndo mwenye tatizo na vihisi joto vyako, kama sivyo basi sema kuwa hauko interested na weupe kama wengine walivyofunguka hapo juu. Kila la kheri katika uchunguzi but take care, sababu huko ndo yapatikanapo yale magonjwa.
 
Ukweli ni kwamba;
1. Angalia wanawake wengi waliojichubua maisha yao, elimu finyu+hawajiamini+maisha ya danadana
2. Wanawake wengi wanaojiamini hawajajichubua, they have their natural colour. Wameelimika na wanajiamini sana.
Kujichubua ni kutojiamini kunapoletwa na kujifeel inferior mbele za watu.

There you are!
 
Kisayansi vitu vyeupe huakisi(reflection) mwanga lakini vitu vyeusi husharabu mwanga(absorption) obviously mweusi lazima awe na joto kuliko mweupe.

Ushasema vitu na tunaongelea ngozi za watu hapa.. Rejea iyo reference yako..
 
Bora nyumba ikose sebule na jiko lakini sio choo. Kwa hiyo sie waswahili wa unguja tunasema Nyumba ni CHOO!!! Vingine ni mbwembwe tu!!
 
Navoona kwa kiasi kikubwa wanaume weusi ndo wanapenda wanawake weupe,na weupe wanapenda weusi..
Angalia most couples utaniambia..

Mim mweupe na ninapenda kweli mwanamuke mweupe tiii, ila sasa bahati napata rafiki wa kike mweusi
 
napenda madem natural - kama vile maddem wa Kiganda - huwa hawapendi kujichubua.
 
Hiyo sijui kwa kweli nahisi weupe una mvuto wake lkn sio ule wa dodo wala fair light,,,,,,,,,
Napenda kuvaa vimini na vigauni vifupi sa ukikutana na mwanaume mwenye tamaa zake lazima akupe lift wana msemo wao....
"Rangi ya mtume hii adimu sana"" mtt mzuri kama ww huwezi kutembea miguu panda twende!

Aisee biashara ni matangazo!!!
 
Back
Top Bottom