jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,702
- 41,865
Wakuu habari ya leo.?
Muda si mrefu nimemsikia rais mstaafu wa awamu ya nne JK akisema wale wenzetu hawana hata wazee.
hii kauli ina maana gani hasa?
Muda si mrefu nimemsikia rais mstaafu wa awamu ya nne JK akisema wale wenzetu hawana hata wazee.
hii kauli ina maana gani hasa?