Hivi ni kweli anavyosema kipanya?



Hii ni kali mwalimu wangu hebu onaaaaaaaaaaaaaaaaaa. gfsonwin

hizi ndo shule za kata zilivivyo si msingi si sekondari hakuna vifaa vya kutosha kama madawati nk. nenda baadhi ya shule za msingi wanafunzi wanakaa chini lol! halafu ndo miaka 50 ya uhuru
 
Sio mkulo huyo ni maige mzee wa kuuza twiga na kobe

ahsante kwa kunielimisha saint ivunga. dah! huyu ndo alipakia twiga kwenye ndege. Ila naskia huko kwao walipokelewa kama mfalme hivi ni kweli?
 
Last edited by a moderator:

Haya Mwalimu mwanafunzi wako hajuwi kusoma ingilishi si huyo unamuona??????????? ...... gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…