Ukiweka kiswahili kura za masharobaro umekosa
wanakuona hujui lugha.
Mbona uhulizi makapuni ya hapa bongo watu wanaoshuka
hiyo lugha yanawapa kipaumbele kwenye usahiri.
Shauri yako weka ubisha utahachwa na basi kwa sasa boti ni
hii moja hakuna jinsi wewe panda twende