Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,000
- 2,129
Hawa watu huwa wanakuwa na matatizo gani? Wanazubaa hovyo barabarani na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.
Mpaka kuna wakati nadhani magari yao ndio mazito na mizigo maana haiwezekani kila mahali naona wanafanana tabia.
Mpaka kuna wakati nadhani magari yao ndio mazito na mizigo maana haiwezekani kila mahali naona wanafanana tabia.