Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,070
- 3,705
Kubwa nikuficha wiz wa raman na. Kutoa mdaa wakufany kazi kwa usalam
Kama sababu kubwa ni kuficha ramani, basi hiyo sababu haina nguvu tena kufuatia teknolojia ya Google map!Kubwa nikuficha wiz wa raman na. Kutoa mdaa wakufany kazi kwa usalam
Macho ya watu hapa unamaanisha nini.
Sasa kauliza lingine na wewe unamuuliza lingineMtoa mada jiulize kwanza kwa nini nyumba zinawekwa fensi utapata jibu
Kwani anayehusika na site hawezi kupata hazards?Site ni sehemu hatarishi hasa kwa mtu asiyehusika.
Kwanza ni usalama wa watu wengine wasiingie ingie. Usalama wa mali pia zilizopo.
Uchawi. Over.Macho ya watu hapa unamaanisha nini.
Usalama wa materials, na pia usumbufu sana kama hakuna fence. Hasa kwa watu wanaoomba misaada na kutafta kazi wakati wameshaambiwa kazi hakunaHapo vip!
Binafsi najua baadhi ya sababu za kuzungushia mabati katika saiti ya ujenzi ila ningependa kufahamu sababu zingine kutoka kwako?