kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,147
- 2,746
Na walishamjibu mkuuMajibuu mazuriii ungepata kwa haoo hao sisi tutakupa majibu ya kusadikikaa tu
mbona jibu la swali lako lipo hapo hapo. au unapenda tu tujadili habari za mavzwanajibu eti nimnyolee nani sasa?
hivi tatizo huenda likawa ni nini waheshimiwa?
Wanawake wa dasilamu hao.
ooh..Jesus Christ of Nazareth..hivi Kwa akili hizi tutakaa kweli tuweze hata kurusha makombora ya masafa mafupi?
Kuhusu makombora, tatizo sio mleta mada, tatizo ni mfumoooh..Jesus Christ of Nazareth..hivi Kwa akili hizi tutakaa kweli tuweze hata kurusha makombora ya masafa mafupi?
Mgeni mwenyewe anaweza kuwa wewe au yule au wale.Hatari sana.waswahili wanasema ukiona usafi ujue mgeni anakuja.............
Wanafanya hivyo kuipa afya papuchi,.ule ni uoto wa asili hivyo una rutuba nyingi za kuipa "puchi nguvu mpya,kasi mpya na hari mpya kwa zama zijazo..
Ahsante.
Njia isiotumika kwa muda mrefu lazima iote nyasi.
Dah! Asipoelewa kwa haya majibu matatu, atakuwa anastahiri kupigwa viboko na mkuu wa mkoa wa Tabora.Anamnyolea nani asa. We unazani kama barabara haina mpitaji itatengenezwa
Ni ndotokwa kweli Mungu atusaidieooh..Jesus Christ of Nazareth..hivi Kwa akili hizi tutakaa kweli tuweze hata kurusha makombora ya masafa mafupi?