Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..?

Mwanamke akishaolewa keshafika mwisho wa safari yake. Mwanaume akioa ndio safari imeanza hapo. Atawaza kujenga nyumba, kulisha familia, kusomesha ndugu na jamaa wa pande zote mbili, matibabu, na matumizi ya nyumba ndogo, if applicable. Haya mambo kwanza yamnampa msongo muda mwingi wa siku na pili yanamlazimisha afanye kazi zaidi ya wakati akiwa bado hajaoa. Matokeo yake ni kupunguza ufanisi kwa mambo mengine.

Lakini baadhi ya kina mama nao wakishaolewa na kuwa maveterani wanajisahau sana. Kwanza hawajitumi na pia wanabweteka sana ndio maana wengi utakuta wana vitambi. Hii nayo inachangia kwa kiasi kikubwa kupunguza mvuto na ufanisi kwenye shughuli kwani hii ni shughuli ya watu wawili.

Mhhh ya wapi hii. kwa hiyo sio mnaanza safari pamoja?
 
Naona hii imekuwa fashion tu siku hizi hata ujitoe kiasi gani kama wa kwenda nje ataenda tu, unafanye kila maujanja wapi? nahisi wanachoka tu nyama ileile mbona mie sichoki?? hata kama nikiiba nje sio kwamba simpendi au nimemchoka ni sababu nakosa excitement kwake ya mapenzi. na wakianza kutoka ukiomba tendo unaanza kupigwa danadana mpaka utalia nakwambia. Mi sijaacha kumtamani hat siku moja ila upande wa pili sasa . Na wakiachwa utaona jinsi mashambulizi yanavyorudi home, ni hatar, na jinsi tulivyo na huruma huwa tunasahau yote tuliyotendewa na kuwapokea kwa mikono miwili.

Ndoa ni ndoano bana, inakera

Aiseee!!!
 
Thanks Uporoto for the advice.... sasa nashindwa niamue lipi......TF????....:decision::decision:......Kimey:decision:.....:confused2::confused2: ..........Bora nibaki home...:A S 13::A S 13::A S 13:!
You say thanx for the advice then you don't know what to do? Hebu msome TF hapa chini then Fanya maamuzi sahihi!!
Nimesikia Kimey amekamatwa na lita kumi za gongo ngoja nikamtafute kwenye vituo vya polisi
 
Single ni ileile jitahidini mtoe album. Meaning mapenzi ni sanaa na sanaa ni ubunifu so kama hamuwezi kutunga verse mpya single inachuja! Jitahidini kutoa album ili nyimbo zisichuje!

And vice versa is true
 
Naona hii imekuwa fashion tu siku hizi hata ujitoe kiasi gani kama wa kwenda nje ataenda tu, unafanye kila maujanja wapi? nahisi wanachoka tu nyama ileile mbona mie sichoki?? hata kama nikiiba nje sio kwamba simpendi au nimemchoka ni sababu nakosa excitement kwake ya mapenzi. na wakianza kutoka ukiomba tendo unaanza kupigwa danadana mpaka utalia nakwambia. Mi sijaacha kumtamani hat siku moja ila upande wa pili sasa . Na wakiachwa utaona jinsi mashambulizi yanavyorudi home, ni hatar, na jinsi tulivyo na huruma huwa tunasahau yote tuliyotendewa na kuwapokea kwa mikono miwili.

Ndoa ni ndoano bana, inakera

Asante kwa kuwa Mkweli
 
You say thanx for the advice then you don't know what to do? Hebu msome TF hapa chini then Fanya maamuzi sahihi!!
Originally Posted by The Finest Nimesikia Kimey amekamatwa na lita kumi za gongo ngoja nikamtafute kwenye vituo vya polisi

Kama haya anayosema TF ya kweli,.... I am sorry Kimey, :A S 13:....:A S 13:
 
Let me think Uporoto....that is why nimeona nibaki home....! TF, kama vile kaka yangu.......:confused2:, Kimey bado sijamwelewa......:confused2:!

Kuna mambo amesema Kyabu....., naogopa isje ikawa Kimey ana mpango kama huo...:A S 13::A S 13:
Sasa tatizo nini Kimey anakupeleka public place sijasoma anakupeleka pabaya na mkishindwana si unachukua taxi ? This may be your chance to meet Mr. Right dont thow it away.
 
Originally Posted by The Finest Nimesikia Kimey amekamatwa na lita kumi za gongo ngoja nikamtafute kwenye vituo vya polisi

Kama haya anayosema TF ya kweli,.... I am sorry Kimey, :A S 13:....:A S 13:
Kimey mtu wa kaunta sasa kama gongo linauzwa bar he is guilty lakini mkataa pazuri pabaya panamwita haya we nenda kwa TF sitaki malalamiko baadaye.
 
Kimey mtu wa kaunta sasa kama gongo linauzwa bar he is guilty lakini mkataa pazuri pabaya panamwita haya we nenda kwa TF sitaki malalamiko baadaye.

Usijali Uporoto....you have been so kind to me, na naona unanitakia mema; I will re-consider my decision.... pata kwanza hii hapa:
The Following User Says Thank You to uporoto01 For This Useful Post:

Keren_Happuch (Today)​
 
Keren nakujali and i want the best for u Kimey na Uporoto wote nawajua hao waliishawahi kunikaba na kuninyang'anya simu l.o.l
 
Let me think Uporoto....that is why nimeona nibaki home....! TF, kama vile kaka yangu.......:confused2:, Kimey bado sijamwelewa......:confused2:!

Kuna mambo amesema Kyabu....., naogopa isje ikawa Kimey ana mpango kama huo...:A S 13::A S 13:
Hahaha Keren bana why are u underating me? Yaani nikupeleke counter ya juu then twende chobingo halafu nione maungo yako then nije kusimulia? Hapana bana me am Getle. Lol
 
Hahaha Keren bana why are u underating me? Yaani nikupeleke counter ya juu then twende chobingo halafu nione maungo yako then nije kusimulia? Hapana bana me am Getle. Lol

Sorry Kimey........is just bcos i am ......:confused2:!
 
Usijali Uporoto....you have been so kind to me, na naona unanitakia mema; I will re-consider my decision.... pata kwanza hii hapa:
The Following User Says Thank You to uporoto01 For This Useful Post:

Keren_Happuch (Today)​
Halafu mimi sijasema nakutaka so nakupa independent advice,halafu TF anavodai tulimpora simu ana Siemens C 25(twanga pepeta) hiyo hata kibaka akikukuta nayo anakupiga kwa kumdhalilisha.
 
lol! hii mbinu ni ya kimafia zaidi Mwana jamii one but inaweza ku work out hiyo ndoa,halafu sio wanaume tu hata wanawake nao wanahusika na hiyo lawama nasio mambo ya kitanda tu mambo mengi huwa yana pungua au kuisha baada ya kuoana.Kuelezana ukweli nayo ni nzuri kama unawashwa mkono sema ukunwe mkono sio unajikuna mgongoni.:rain:
 
Ww mama ww cdhani kama maneno yako yanaukweli kwani nina mwaka wa nne kwe ndoa yangu na nnatembea mwendo mudundo,
 
Halafu staili hiyohiyo kila siku....lazima hamu itapungua.
..Wanawake walio kwenye ndoa kuna baadhi ya style ukitaka kuzitumia utasikia ah! mi sitaki hivyo kisa nini au ndio unavyopewa na small house yako?? Pia wakishazaa wanawake huamishia mapenzi kwa watoto na kukuacha baba kama hakujui.
 
Nadhani tatizo ni kwa wake zetu,akishapata jiko tu basi,kamaliza,ndo maana hata wanaome wengine wanaishia kwa housegirl wao.
 
Oyaaa!
Jamani tuoneeni huruma!

Spidi hiyo tutapata wapi, wakati unajua niko na wewe 24/7?...Nikilala upo, nikiamka upo, nikistuka usingizini upo, nikigeukia upande wa pili upo..huh!, sa nguvu zote hizo zitoke wapi besti?

Usilinganishe mambo ya uchumba na ndoa sista!..ni kama mbingu na ardhi!.Hujaona watu wanaenda kwenye appointment na mchumba wakiwa na mashati ya kuazima?..ambapo kwenye ndoa tunakula kilichopo!:pray:

Kua uyaone!

Hakika umenena,watoto hawajui hiyo.
 
Wanaume wakishaoa ni wavivu sana kwenye mapenzi kuliko awali kabla hawajaoa.unakuta zamani kabla hajaingia kwenye ndoa dume lilikuwa linajituma mpaka mtoto wa kike anakolea,ila akiingia kwenye kiapo anakuwa mzito sana.hasa wanaume hawa waliooa wakishikwa hamu hakuna tena maandalizi kwa wenzi wao,huishia kuwaparamia kama vile wamehesabiwa muda wa mechi.nimejaribu kuwauliza wanawake kadhaa walioolewa na baadhi ya nyumba ndogo za wanaume kadhaa, wote wamelikiri hili. Wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie kujua sababu ili nami nikiolewa nsikutane na mwanaume mzembemzembe.pia hao waliooa wajifunze wajue mahitaji ya wake zao na maInfii wao

Hapo kwenye nyekundu, mbona hujaolewa na wayajua hayo ya uzembe wa waume walioooa??????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom