Habari wadau,
Mimi ni mkazi wa Dar Es Salaam na nimekuwa kuna swali najiuliza sana la matumizi ya insulation. Hivi ni kwa nini Tanzania hatuna na hatutumii insulation kwenye nyumba zenye AC?
Naomba niulize kwa nini vile vile watu wengi hawatumii "double glass window" kwenye zenye Ac kwa maana husaidia kusaidia baridi iliyopo ndani kupotea kwa urahisi.
Tafadhali naomba ufafanuzi wenu.
Shukrani kwa majibu yenu wote.