FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,874
- 46,979
- Thread starter
-
- #101
Mbu wa 1950’s waliokuwa wanawaua kwa DDT walitoka wapi?Du!hakuna uhusiano wa maendeleo ya nchi na kuwepo kwa mdudu Mbu, simple explaination ya kwann Usa hakuna Malaria ni kwamba hakuna Vector wake ambaye ni Mbu kwakuwa mazingira ya Amerika hayaruhusu mbu ki survive nchi zilizo ktk ukanda wa kitropiki na zenye maendeleo makubwa km Brazil zina Malaria kama kawa na Zica juu.
Shida ni makampuni ya dawa za malaria yalianza kulalamika biashara ngumu, hivyo ilibidi wasaidiwe kwa njia hiiMi hapa ndio huwa nashindwa kuelewa,nakumbuka miaka ya nyuma sana kulikuwa kuna mradi wa kutokomeza malaria, walikuwa wanapulizia dawa kwenye nyumba,ulikuwa unakaa mpaka mieze 6 hujaona wala kusikia Mbu,sijui kwanini wameachana na hii mikakati ya kutokomeza malaria nchini kwetu.
Inasikitisha sana, waturuhumie na sisi Africa tupate unafuu aisee, daahMalaria ikiondoka watu watapataje fedha
This is business mzee
Ova
hata zanzibar hapo hamna maraliaSi Marekani tu.
Nchi nyingi zilizoendelea, MALARIA hawaifahamu
Malaria**hata zanzibar hapo hamna maralia
Tatizo siyo nchi za nje ni nchi zetu na serikali zetu wenyewe....unafikiri na wao wanashindwa kutokomeza malariaInasikitisha sana, waturuhumie na sisi Africa tupate unafuu aisee, daah
Mbu wapo mto Msimbazi...kipindi nakaa kule chini Kinondoni Moscow!!! Acha kabisa....!!! Mbu anatoboa jeans akitafuta...damu ya mtu! Ukisema ujifunike gubigubi na blanketi zito joto balaa!!!Kabla hujasema hili ungeenda manzese na tandale uone maji yalivyosimama kila mahali na huko ndio mbu wanazaliana. NGO wao wanalijua hili lakini hawataweza kulitatua kwani hata serikali limewashinda. Ni lazima jiji lijengwe upya kabisa ili kuweka drainage.
Kukaa kwako kote huko ulishawahi kuona watu wamekuja kupiga dawa huko kwenye msituMbu wapo mto Msimbazi...kipindi nakaa kule chini Kinondoni Moscow!!! Acha kabisa....!!! Mbu anatoboa jeans akitafuta...damu ya mtu! Ukisema ujifunike gubigubi na blanketi zito joto balaa!!!
Aisee...kipindi chote nilichokaa maeneo hayo zaidi ya miaka minne sikuwahi kuona; ila kulikuwa na jamaa yangu alikuwa anakaa Mzambarauni, alikuwa na tenda ya kufanya hiyo fumigation...maeneo ya Kawe na Masaki! Hata hivyo, sikuwahi kudhibitisha kama kweli alikuwa na tenda hiyo ama zilikuwa swagga zake!! Ila mashine ya kupuliza niliiona!!!Kukaa kwako kote huko ulishawahi kuona watu wamekuja kupiga dawa huko kwenye msitu
I mean kufanya famigation
Ova
Sasa famigation maeneo kama hayo inatakiwa ipulizwe kutoka juu .....Aisee...kipindi chote nilichokaa maeneo hayo zaidi ya miaka minne sikuwahi kuona; ila kulikuwa na jamaa yangu alikuwa anakaa Mzambarauni, alikuwa na tenda ya kufanya hiyo fumigation...maeneo ya Kawe na Masaki! Hata hivyo, sikuwahi kudhibitisha kama kweli alikuwa na tenda hiyo ama zilikuwa swagga zake!! Ila mashine ya kupuliza niliiona!!!
Hii umeinukuu wapi!? Ha ha haa!Et Mbu wamewekewa vikwazo! Mkuu umetisha
Sibezi juhudi hizi, lakini kuhimiza matumizi ya chandarua pekee bila kumaliza kiini cha tatizo, Mbu, ni kuendelea kuwaneemesha wanaotengeneza dawa za kutibu ugonjwa wa malaria na kuifanya serikali ishindwe kutekeleze mipango ya maendeleo kwa ufanisi.Kwahiyo 1950’s huko Marekani mbu walikuwa wanatokea wapi?
Waliua mbu wote wanaoambukiza mareliaHamna mbu, km wapo wana nguvu ya soda tu
Subiri wakupigie goti shingoniUSA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631]
Tanzania kwa sasa hakuna juhudi yyte inayofanyikaSibezi juhudi hizi, lakini kuhimiza matumizi ya chandarua pekee bila kumaliza kiini cha tatizo, Mbu, ni kuendelea kuwaneemesha wanaotengeneza dawa za kutibu ugonjwa wa malaria na kuifanya serikali ishindwe kutekeleze mipango ya maendeleo kwa ufanisi.
Nadhani waziri wa afya aanzishe mpango kababmbe wa kutokomeza mbu nchini, ikibidi hata kwa DDTTanzania kwa sasa hakuna juhudi yyte inayofanyika
zaidi ya kutuuzia madawa ya malaria
Kwanza wataalam maprofesa,madokta sahv wengi wanaingia kwenye siasa...
Mtaalam pekee mtanzania prof kilama,miaka ya 80 alikuwa anafanya sana research kuhusu malaria hadi kuandaa mkutano mkubwa wa mambo ya malaria tanzania arusha ambapo haikutokea tena,,huyo ndy alikuwa na nia na Dhati ya kuuteketeza
Zaidi ya hapo acha Tuendeleee kutumia madawa tunayoletewa
Ova