Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,227
Malaria ni tropical disease.
"Marekani ilifanikiwa kutokomeza malaria miaka ya 1950", kama kauli hii inaukweli maana yake malaria ilikuwapo hapo awaliDah humu kuna watu weupe sana kichwani.
Swaziland, Lesotho ni nchi maskini kupindukia na hakuna maralia. Nchi nyingi za africa zilizo upande wa ikweta ndio zenye tatizo hili la maralia. Nliishi Amani Tanga, sikuwahi ona watu wakiumwa maralia. Ingawa tulikua twaishi karibu na msitu mkubwa na tukilala bila chandarua wala kua na dawa ya mmbu.
hakukua na mmbu kwakua ni baridi throughout the year.
same mataifa ya kusini mwa Africa, na mataifa ya north Africa ambayo huko mpaka snow inaanguka.
"Marekani ilifanikiwa kutokomeza malaria miaka ya 1950", kama kauli hii inaukweli maana yake malaria ilikuwapo hapo awali
Mhh! Sikupata kuwaona mbu size hiyo kule Marekanimbu wa kule wana ukubwa kama vifaranga ndio maana sisi tunasema hakuna mbu
Through the groups' combined efforts, the U.S. officially eradicated malaria in 1951. The CDC, though, still remains very involved with malaria research around the globe.We unakichaa.
Labda alishawahi kuona mkarafuu Shinyanga.Kwenu kuna penguin au kangaroo? Jiulize sababu!
Walitumia dawa ya DDDT kutokomeza mazalia enzi hizo kabla yakupigwa marufuku kutotumika popote duniani .Dawa ya DDDT nikiboko ikipigwa mahali Mbu azaliwi hapo labda ipite miaka sio chini ya 15 .dawa hiyo pia hipo iliyo boreshwa ataa Mwaka 2010 Tanzania tulipendekeza kuitumia ila kuna wanaharakati na NGO uchwara wakashikia bango tusitumie na kweli serikali ikasarenda tunanyimwa kibali chakuitumia .hiyo dawa ndio siri ya marekani kuwa free malaria ,marekani malaria ni uende nayoJe, wamarekani wana damu chungu?
New Delhi na Asia kwa ujumla ndio nyumbani kwa malaria .inawezekana ndio waliotuambukiza Africa .binafsi nakumbuka malaria Tanzania imeanza kuwepo miaka 1972 tena sehemu kabla ya kuenea nakuwa janga .Delhi ni juhudi tuu wanafanya kama ilivyo Zanzibar iliyofanikiwa kiasi kikubwa kutomeza malaria mpaka kufikia kutajwa kama eneo lisio na malariaKuna kipindi early 2000s SOUTH AFRICA nao hawakuwa na malaria! New Delhi pia sikuwahi kuskia kitu Malaria.
Wameenda likizo sio?