Hivi ni kwanini huyu mama anajiita Dr. Mary Mwanjelwa?

Na hakuna mtu wa kumgusa maana kazaa mtoto na mkulu wa inji. Hizi ni habari za uhakika kwa 100 %
 


Bongo kweli tambarare,
Yani huyu amekuwa DIRECTOR wa PSI akiwa na Advance diploma ya IMT sijuhi ndio chuo gani hiki?
 
Itakuwa alijipatia udokta baada ya kufanya kazi PSI; kusambaza c*ndomu na neti kulimfanya ajione sawa na madaktari wengine waokoa maisha ya binadamu!
Ulikuwa na haja gani ya ku-quote post nzima ya kwanza hapo juu na kuja kujibu kwa sentensi moja? Unatutesa sisi tunaotumia simu kuperuzi JF.
Aaaargh
 
Kila kitu hovyo, ufisadi kila mahali.

Tunataka madokta & phds wa kutibu matatizo ya nchi hii. Hizi title za kijinga zifike mwisho sasa.
 
Huyu si alipewa hii na kanisa? baada ya kuona anakaribia kuwa mbunge wa kuteuliwa ikabidi wampe hicho cheo cha uongo uongo huenda Rais akiona DR basi atamchaguwa kwenye baraza la mawaziri ! eh! kaazi kweli kweli !
 
f*****k 'em wt their bloody thiefy phds...wanafkiri phds ni nywele za kwapa kila m2 anazo eenhhh...
 
Pia hakuna A- level ya kusoma mwaka:
Siha Secondary School, MoshiA-Level Education1982--1983HIGH SCHOOL
Kama allingia A level 1982 alipaswa kumaliza 1984 na sio 1983
 
Pia hakuna A- level ya kusoma mwaka:
Siha Secondary School, MoshiA-Level Education19821983HIGH SCHOOL
Kama aliingia A level 1982 alipaswa kumaliza 1984 na sio 1983
 
Na alikuwa akifanya nini between 1983 alipomaliza A level na 2001 alipojoin icho chuo.Inaonyesha mwaka 1998 alikuwa Administration officer aghakan na 1999 aliajiriwa na PSRC kama information officer,swali ni je alitumia qualifications gani kupata izo kazi mbili?
 
Pia hakuna A- level ya kusoma mwaka:
Siha Secondary School, MoshiA-Level Education19821983HIGH SCHOOL
Kama aliingia A level 1982 alipaswa kumaliza 1984 na sio 1983

Siha high school ilianzisha A level mwaka 1992,mwaka 1982 kulikuwa na O level pekee yake wakuu,
 
Itakuwa alijipatia udokta baada ya kufanya kazi PSI; kusambaza c*ndomu na neti kulimfanya ajione sawa na madaktari wengine waokoa maisha ya binadamu!
umewaza mbali sana mwana,mwenyewe akiisoma hii lazima acheke,najua ma lwakatare atakuwa ameshampigia cm na kumweleza leo jf wanakudadavua kama ile uliyoiba mataulo a town
 
Unajua watanzania tumefika mahali hatujui cha kuongea yeye kajiita na wewe unaitwa nani?leteni thread zilizoenda shule acha uswahili
 
wote wametenda dhambi na kupungukiwa utukufu wa mungu ccm haimaniki tena haifai kuendelea kupewa dhamana ya kuongoza hii nchi
 
Unajua watanzania tumefika mahali hatujui cha kuongea yeye kajiita na wewe unaitwa nani?leteni thread zilizoenda shule acha uswahili

Kwa haraka unawezafikiri ni issue personal, ila kuna haja ya kuhoji. Maana huyu ni kiongozi wetu. Unapochaguliwa kuwa kiongozi wa umma, ni vema tutambue sababu ya kupewa dhamana hiyo.
 

PhD fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…