Hivi ni kwa nini?
Unaweza uko kwenye mood ya kugegeda, kila unapojaribu unatoswa, mara oh, niko natarii mwezini, mara kesho, mara naogopa . Lakini siku ambapo hauna hata haja ya kufanya hivyo ndo utasumbuliwa na ma-x bf wa zamani, ukienda kupata 1 baridi moja moto ndo utaona warembo kibao wanakukonyeza, ukijaribu kutania mmoja ndo anajaa kwenye anga mzima mzima tena anakwambia hata yeye anajisikia kukungutwa; hivi huwa ni kwa nini?
Kwa mwanamke sawa lakini kwa mwanaume muda wote yuko full.Labda awe amezoea kula chipsi mayai ya kisasa,kuku wa kisasa, ugali wa kukobolewa, pombe n.k.Kwa maelezo yako hakuna kitakachomtoa mume kwenye mudi zaidi ya hayo niliyotaja.

kuna wakati unakuwa na mawazo, au jukumu fulani ambalo unapaswa ukaribiane nalo. hali kama hizo zitakutoa tu kwenye moody ya kutaka kugegeda.
Uko sahihi mkuu na wewe sio mnyama asiye na utashi yawezekana kuna kipindi unataka tu kuwa alone upange mambo yako na kujitathmini then unaamua kutoka zako simple na kukaa sehemu basi utakoma ni kama kuna bango nyuma yako "single and available" ni fuuuuull kutegwa!!!!!!
Mkuu yaani nashangaa ni kwa nini huwa inatokea.