duuh ila ulitisha sanaa navuta taswira kwa mbaliNilikuwa chumbani nikijua nipo peke yangu kumbe wife yupo nyuma ya kabati la nguo anafanya usafi basi niliachia bonge la kijambo halafu nikaruka kama nimeshtuka hadi kitandani kumbe nafanya yote hayo wife ananicheki duh nilijisikia noma sana
Nkaribishe,maana tumefanana mm nashndaga na boxer tuWatu tunaoishi peke yetu tuna vituko sana. Ukiwa ndani hakunaga haja ya kushinda umevaa manguo.hasa weekend Ukijitahidi ni khanga tu.
Boxer tu afu unifanyeje? ShindwaNkaribishe,maana tumefanana mm nashndaga na boxer tu
SanaMzee ulitisha kinoma noma
Ndege wanaofanana wanaruka pamojaBoxer tu afu unifanteje? Shindwa
,Habar wana jamii forum.
Kwenye maisha kuna mambo mengi, kuna wakati unaweza fanya jambo la ajabu ila kwa kuwa uko mwenyewe inabaki kuwa siri yako.
Mimi upande wangu. Kuna nyumba nilikuwa nimepanga miaka kadhaa iliyopita. Hiyo nyumba ilikuwa na wapangaji tusiopungua 12. Sasa hiyo nyumba ilikuwa na bafu na choo kimoja. Jambo ambalo likitupa shida sana baadhi ya wapangaji ambao tulikuwa tukiamka alfajir kwenda makazini na wengine kwenye mihangaiko yao ya kila siku.
Jambo ambalo lilitulazimu kupanga foleni kwa ajili ya kwenda kuoga asubuh. Mimi nikaanzisha kamchezo kangu ili kuweza kuokoa muda. Nikawa naoga ndani kwenye jaba la kuhifadhia maji kamchezo hako kakaendelea kiasi kwamba ikafika wakati nikaona hakuna haja ya kwenda bafuni hata kusipokuwa na foleni.
Ikafika wakati wapangaji wenzangu wakaniuliza vp wewe jamaa huwa uogi..kumbe mzee nina bafu langu ndani.
Hebu na wewe tushirikishe la kwako.
Kipindi flani nikiwa umri wa 15 kijijin ...wakati nimeenda kuchunga ng'ombe enzi hzo ndy nanza anza kutumia sm ..nilikua nachezea cm mpkaka nikajisahau kama nachunga ng'ombe akaenda kula nyanya za watu ....saangap mwenyewe asione nikaanza kumkimbiza ng'ombe kumrudisha nyumba nilimpga Hadi nilimchubua mgongo ...baadae nikaa nikawaza kwani ng'ombe anakosa gani Hadi nimuumize ..nikapiga magoti nikamuimba ng'ombe msamaha
Habar wana jamii forum.

😂😂😂😂Habar wana jamii forum.

😂😂😂 ukaamua unukishe kote🤣🤣🤣Kidogo ifanane na Yangu. ...
Nilikuwa kazini nataka kwenda ghorofa ya juu kwa lift....nikabanwa na kijambo nikasema nichukue ngazi kwani huwa hakunaga watu huko.....ile nakiachia tu mlango wa juu Yangu ukafunguka mtu anashuka. ...nilishuka ngazi mpaka basement.....nikarudi juu kwa lift...
Nimeacha kujamba kwenye lift na kwenye ngazi.
Nilikuwa chumbani nikijua nipo peke yangu kumbe wife yupo nyuma ya kabati la nguo anafanya usafi basi niliachia bonge la kijambo halafu nikaruka kama nimeshtuka hadi kitandani kumbe nafanya yote hayo wife ananicheki duh nilijisikia noma
Mm na Mpenz wangu kujambiana kawaida sana