Hivi ni huyu tu au wanawake wote ndiyo wako hivi?

Umesahau kumalizia mstari wa mwisho.......'kushtuka kumbe ulikuwa umesinzia kituo cha bus huku umepakata furushi lako la chupa za plastic'.....ulikuwa unaota.
Aisee sijawahi nyonya manzi muda mrefu kama hivi
 
Back
Top Bottom