Hivi ni dawa kweli?

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
385
104
hello jf doctors, natumai mu wazima. Nimesikia kuwa kufanya mapenzi mara kwa mara husaidia ngozi ya mwanamke kuwa nyororo na yakuvutia and virseversa, je ni kweli wadau?
 
Hili suala ni ukweli kabisa, kila mwanamke anapofanya mapenzi kuna hormones za kike huwa zinatolewa.

Moja ya kazi za hormones za kike ni kufanya ngozi ya mwanamke kuwa nyororo.
 
Back
Top Bottom