Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Baada ya uchaguzi mdogo kumalizika na ccm kuchukua kata zote 21 kati 22 ni kitu ambacho sikukitegemea kama wananchi wataipigia kura kwa wingi namna hii .
Kabla ya uchaguzi mdogo kufanyika kuna mambo makuu matano yaliyojitokeza ambayo tulitegemea yangewapa credit upinzani kushinda uchaguzi.
Licha ya upinzani kuongea vitu vingi ikiwemo ajira,uchumi, sukari,hali ngumu ya maisha lakini mambo yamekuwa tofauti kwenye sanduku la kura.
Swali langu: Je CCM huwa wanatumia 'dawa' gani hadi inashinda kwa kishindo hivi?