Mwalimu:unamjua nani anaitwa Kinjekitile Ngwale?
Mwanafunzi:simfahamu
Mwalimu:angalia sana masomo yako.
Mwanafunzi:unamfahamu Mzee John?
Mwalimu:Hapana
Mwanafunzi:mwangalie sana mke wako.
teh teh teh! Mbona j.mosi na j.pili zipo fupi sana? Mi wakati wa likizo nikimaliza kunywa chai naambiwa chakula cha mchana tayari, nikimaliza kupata lunch mara naulizwa hivi taa za nje zimewashwa kweli? Yaani sijui hata siku zinaendaje wakati wa likizo.Jumatatuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.......
Jumanneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.......
Jumatanoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo...
Alhamisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
Ijumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Jumamosijumapili.
hahahahaha yaani weekend ni kama masaa sitateh teh teh! Mbona j.mosi na j.pili zipo fupi sana? Mi wakati wa likizo nikimaliza kunywa chai naambiwa chakula cha mchana tayari, nikimaliza kupata lunch mara naulizwa hivi taa za nje zimewashwa kweli? Yaani sijui hata siku zinaendaje wakati wa likizo.
Mwalimu:unamjua nani anaitwa Kinjekitile Ngwale?
Mwanafunzi:simfahamu
Mwalimu:angalia sana masomo yako.
Mwanafunzi:unamfahamu Mzee John?
Mwalimu:Hapana
Mwanafunzi:mwangalie sana mke wako.
Acha uvivu buddy,unatamani ingekuwa jumatatu,jumanne,jumatano,alhamisi,ijumaa,jumamosiiiiiiiiíiiii,jumapiliiiiiiiiiiiiiiiiii>>>>.Jumatatuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.......
Jumanneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.......
Jumatanoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo...
Alhamisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
Ijumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Jumamosijumapili.
Acha uvivu buddy,unatamani ingekuwa jumatatu,jumanne,jumatano,alhamisi,ijumaa,jumamosiiiiiiiiíiiii,jumapiliiiiiiiiiiiiiiiiii>>>>.