Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
"Na ndani yake ilionekana damu ya watakatifu, na ya wale wote waliouawa juu ya nchi". Ufu 18:24.
Rejea pia usome Danieli 7:25 kisha Est 3:8-10 kisha_fuatana_nami
Ni nani huyo muuaji?
(Sikia alichopata kuchosema Baron Deponnat kiongozi mashuhuri wa Ufaransa)
Anasema :-
"Roman katoliki lilizaliwa katika damu likawekewa_ukuta wa damu lilituliza_kiu_yake kwa damu na ni kwa herufi za damu historia yake imeandikwa. Utendaji wao unakwenda bila kuacha mapigo ya mirindimo_ya_viapo vya damu!"
Sasa_hapa_utasema_limejengewaje_kwa_damu?
Mamlaka ya Papa imekuwa ikitekeleza mateso dhidi ya wale wanaopinga madai yake, kama haki iliyopewa na Mungu.
Papa Martin V(1417-1431 B.K) alitoa maelekezo yafuatayo kwa mfalme wa Poland kuhusiana na Wakristo wa kweli waliokuwa wafuasi wa John Huss.
Hakikisha_unawaangamiza_wafuasi_wote_wa_Huss. Kumbuka kuwa watu wenye kukufuru wanathubutu kanuni za uhuru; wanadai
Wakristo_wote_ni_ndugu....wanadai kwamba Kristo alikuja duniani kukomesha utumwa; wanawaita watu wawe huru...
Choma_ua_kwa_wingi,fanya mahali pawe jangwa,kwani hakuna jambo linalokubalika zaidi kwa Mungu/linalofaa zaidi lenye manufaa zaidi ktk wajibu wa wafalme,kama vile kuwaangamiza wafuasi wa Huss."(L.M.de Cormentin, The Public and Private History of Popes of Rome, Vol. III, uk.116-117.
JE_WAMEISHIA_HAPO_TU
"Mapapa pamoja na mawakala wa Kijesuiti, hadi sasa wamekuwa ndiyo wainjiniaji_wa_vita, na wakati ulimwengu ukiugulia maumivu ya kweli,
Roma_hushikilia_shampeni."
Maneno taliyotamkwa na Jeremia J. Crowley (Padri wa zamani wa Kikatoliki).
Romanism: A Manace to the Nation, Menace Publishing uk 144.
Haitoshi
Naye Edmond Paris ameandika hivi:-
"Mtu aweza kusema kwa uhakika kwamba mnamo mwaka 1914 kanisa la Roma lilianzisha_mfumo_wa_vita_vibaya.ilikuwa kwamba, utambulisho wa damu ambayo wakati wote amechukua kwa wanadamu ikaanza kuumuka na kuwa tufani ya kutisha." The Vatican Against Europe, The Wickliffe Press uk 48.
Hivyo_ndivyo_Roma_imetenda_inaenendelea_na_itaendelea kakini atavuna_tu_alichopanda Ufu 9:1-2.
Uliza_kama_hujaelewa_kisha_tutasaidiana
What's app no 0655446552.
Sawa.... Devil worshiper pongezi. ...
wenzao wanafanya biashara yaTuwaombee,maana walisubiri kupanda ndege na hawakufanikiwa.....waliwakataza watoto kwenda shule...washukuru Roma ndo imewafungua macho.
Hapa unaonyesha chukki yako kwa wasabato wala huna hoja ya msingi.kwa hili hulijui utendalo, kwani unatimiza unabii,Mungu akusamehe. Hicho kikundi ulichosema cha watu 600 sio kanisa la waadventista wasabato bali ni kikundi kilichochanganyikiwa kama wewe. Pia sio kila anyeelezea historia ya uasi wa kanisa katoliki ni msabato,historia iko wazi kabisa anayetaka kujua ataelewa tu hata kama hamtaki. Jana nimesikiliza kipindi star tv kuna pastor mmoja sijui wa kanisa gan na wali si msabato aliielezea jinsi kanisa la roma lilivyoingia katika vita dhidi ya wale waliohifadhi Maandiko matakatifu yaani Biblia.Waliwapiga vita waldensia kwa kuwa walitunza Biblia halisi.Huu ukweli ukisemwa bado mtawatukana wasabato? Neema ya Bwana wetu Yesu iwaangaze muutambue ukweli na kuufuata.Katika wafia dini wote wasabato ndo vi**yo wa kutupa.
Hawana kingine cha kuhubiri tofauti na Kanisa Catholic, vitabu vya Ufunuo na Daniel.
Kuna mwaka flani wakiwa kama 600 hivi waliandamana kwenda Airport ili waende ulaya bila ya kuwa na chochote kilichohitajika.
Hawa nao ni moja ya makundi ya vichaa kwenye jamii.
Busara kuu hii.Dini ni ujinga,
Dini si Mungu, Mungu si Dini
Dini ni mawazo ya wanadamu juu ya Mungu
watu waelewe na wafahamu kuwa Dini ni kilimbilio la watu wajinga na wapumbavu, bali Mungu ni kimbilio na watu wenye Hekima, Busara na Maarifa
Heri ya mwaka mpya
Siku nyingine ukishajua unapost pumba kama hizi usini-quote.Hapa unaonyesha chukki yako kwa wasabato wala huna hoja ya msingi.kwa hili hulijui utendalo, kwani unatimiza unabii,Mungu akusamehe. Hicho kikundi ulichosema cha watu 600 sio kanisa la waadventista wasabato bali ni kikundi kilichochanganyikiwa kama wewe. Pia sio kila anyeelezea historia ya uasi wa kanisa katoliki ni msabato,historia iko wazi kabisa anayetaka kujua ataelewa tu hata kama hamtaki. Jana nimesikiliza kipindi star tv kuna pastor mmoja sijui wa kanisa gan na wali si msabato aliielezea jinsi kanisa la roma lilivyoingia katika vita dhidi ya wale waliohifadhi Maandiko matakatifu yaani Biblia.Waliwapiga vita waldensia kwa kuwa walitunza Biblia halisi.Huu ukweli ukisemwa bado mtawatukana wasabato? Neema ya Bwana wetu Yesu iwaangaze muutambue ukweli na kuufuata.
Anaitwa prof walter j veith angalia Youtube lecture zake amefanya research kuhusu maelezo yote na source zote za vatican upapa na ujesuit na NWO agendas freemasons jinsi wanavyoshirikia katika kuhakikisha Uwongo unaaminiwa na wengi...Hapa unaonyesha chukki yako kwa wasabato wala huna hoja ya msingi.kwa hili hulijui utendalo, kwani unatimiza unabii,Mungu akusamehe. Hicho kikundi ulichosema cha watu 600 sio kanisa la waadventista wasabato bali ni kikundi kilichochanganyikiwa kama wewe. Pia sio kila anyeelezea historia ya uasi wa kanisa katoliki ni msabato,historia iko wazi kabisa anayetaka kujua ataelewa tu hata kama hamtaki. Jana nimesikiliza kipindi star tv kuna pastor mmoja sijui wa kanisa gan na wali si msabato aliielezea jinsi kanisa la roma lilivyoingia katika vita dhidi ya wale waliohifadhi Maandiko matakatifu yaani Biblia.Waliwapiga vita waldensia kwa kuwa walitunza Biblia halisi.Huu ukweli ukisemwa bado mtawatukana wasabato? Neema ya Bwana wetu Yesu iwaangaze muutambue ukweli na kuufuata.
huyo ni mwanadini au mfia diniSiku nyingine ukishajua unapost pumba kama hizi usini-quote.
Leo nakuacha tu maana ni mara ya kwanza,.....ole wako urudie tena.
Nami nimemtahadharisha asijenitapikia ujinga wake.huyo ni mwanadini au mfia dini
amefundishwa ujinga, ameamini ujinga
Mbona hili kwa wenye akili timamu , wanaoisoma biblia vzr lipo wazi katika UFUNUO SURA YA 13:JINSI ULIMWENGU MZIMA UTAKAVYOMSTAAJABIA MNYAMA WA AJABU:MNYAMA HUYO ANA ALAMA YA VICARIUS FILII DEI(666)"Na ndani yake ilionekana damu ya watakatifu, na ya wale wote waliouawa juu ya nchi". Ufu 18:24.
Rejea pia usome Danieli 7:25 kisha Est 3:8-10 kisha_fuatana_nami
Ni nani huyo muuaji?
(Sikia alichopata kuchosema Baron Deponnat kiongozi mashuhuri wa Ufaransa)
Anasema :-
"Roman katoliki lilizaliwa katika damu likawekewa_ukuta wa damu lilituliza_kiu_yake kwa damu na ni kwa herufi za damu historia yake imeandikwa. Utendaji wao unakwenda bila kuacha mapigo ya mirindimo_ya_viapo vya damu!"
Sasa_hapa_utasema_limejengewaje_kwa_damu?
Mamlaka ya Papa imekuwa ikitekeleza mateso dhidi ya wale wanaopinga madai yake, kama haki iliyopewa na Mungu.
Papa Martin V(1417-1431 B.K) alitoa maelekezo yafuatayo kwa mfalme wa Poland kuhusiana na Wakristo wa kweli waliokuwa wafuasi wa John Huss.
Hakikisha_unawaangamiza_wafuasi_wote_wa_Huss. Kumbuka kuwa watu wenye kukufuru wanathubutu kanuni za uhuru; wanadai
Wakristo_wote_ni_ndugu....wanadai kwamba Kristo alikuja duniani kukomesha utumwa; wanawaita watu wawe huru...
Choma_ua_kwa_wingi,fanya mahali pawe jangwa,kwani hakuna jambo linalokubalika zaidi kwa Mungu/linalofaa zaidi lenye manufaa zaidi ktk wajibu wa wafalme,kama vile kuwaangamiza wafuasi wa Huss."(L.M.de Cormentin, The Public and Private History of Popes of Rome, Vol. III, uk.116-117.
JE_WAMEISHIA_HAPO_TU
"Mapapa pamoja na mawakala wa Kijesuiti, hadi sasa wamekuwa ndiyo wainjiniaji_wa_vita, na wakati ulimwengu ukiugulia maumivu ya kweli,
Roma_hushikilia_shampeni."
Maneno taliyotamkwa na Jeremia J. Crowley (Padri wa zamani wa Kikatoliki).
Romanism: A Manace to the Nation, Menace Publishing uk 144.
Haitoshi
Naye Edmond Paris ameandika hivi:-
"Mtu aweza kusema kwa uhakika kwamba mnamo mwaka 1914 kanisa la Roma lilianzisha_mfumo_wa_vita_vibaya.ilikuwa kwamba, utambulisho wa damu ambayo wakati wote amechukua kwa wanadamu ikaanza kuumuka na kuwa tufani ya kutisha." The Vatican Against Europe, The Wickliffe Press uk 48.
Hivyo_ndivyo_Roma_imetenda_inaenendelea_na_itaendelea kakini atavuna_tu_alichopanda Ufu 9:1-2.
Uliza_kama_hujaelewa_kisha_tutasaidiana
What's app no 0655446552.
Mbona hili kwa wenye akili timamu , wanaoisoma biblia vzr lipo wazi katika UFUNUO SURA YA 13:JINSI ULIMWENGU MZIMA UTAKAVYOMSTAAJABIA MNYAMA WA AJABU:MNYAMA HUYO ANA ALAMA YA VICARIUS FILII DEI(666)
Methali 14:15 Mjinga uamini kila analoambiwa,Madhehebu yote ya kikristo yafanye yanavyofanya,yaseme yanavyoweza khs kanisa katoriki lkn mwisho wa yote kanisa ni kanisa na mkristo ni mkristo wote mpo chini ya Papa directly au indirectly ,huna sehemu ya kumkwepa Papa provided wewe ni mkristo unaeingia kanisani na janaba,viatu,hujashika udhu,unaingia kanisani na damu zako za hedhi na kushika kitabu cha injili,torati na zaburi,mwanamke unaingia ukiwa kichwa wazi,mabega wazi huku umevaa kimini,mwanamke unaingia huku bado unatoka damu ya nifasi,unaingia huku umelewa hata msabato yumo humu, tambua uko chini ya Papa