He he! mkuu pole sana!Walakini upo mkubwa tena sana
Kumsoma binadamu hata siku moja huwezi kummaliza basi kama ni kitabu kinapata update nyingi sana kila muda kiasi kuwa lzm urudie sana kukisoma
Hii ni kuwa binadamu are not static they are dynamic they tend to change time to time sure because they have hormone , this chemicals are not static they change depending of time, place , geographical area, types of food and psychological change
Kwa kawaida mwanadam uliye naye Leo usithani ndo atakuwa wa kesho kama ingekuwa mtu unaweza kumsoma mtu basi watu wanaoumizwa na mapenzi isingekuwa hivyo
Ndo maana mkitaka makubaliano. Na binadamu usipoyaweka kwenye maandishi lzm utakuja kulia
Teh
Hehehe wewe kenzy kweliHe he! mkuu pole sana!
kuna sehemu nimeandika "mafundo na vifundo"
hicho ndicho nnachokiona kwako!
ningekuwa najua kuwa binadamu habadiliki ningekuambia kariri lkn nimeandika msome.
wewe unaona ugumu lkn hivyo ndivyo binadamu anavyokuwa controled!.
Mkuu kuna tabia ambazo ni kaliba yako huruki viunzi!.Human being is a political animal/ binadamu ni mnyama mwanasiasa.
Tunabadilika kulingana na mazingira. Siyo mimi, wewe au yule. Akiwa Jukwaa la siasa ni mwingine, akiwa MMU ni mwingine, Jukwaa la Dini- Intelijinsia na orodha inaendelea.
Huu ni mfano tu humu Jamii Forums. Uraiani si ndiyo kabisa?.
huko mitaani migogoro haitaisha!Hehehe wewe kenzy kweli
Kumsoma huyu ni kuumiza kichwa tu hiyo tuwaaachie wana saikologia
Teh
Sawa.Mkuu kuna tabia ambazo ni kaliba yako huruki viunzi!.
huenda nikawa nimetumia lugha ngumu kwenye hii mada lkn najua ukitulia utanielewa.