kimanganuni
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 323
- 170
Mkuu hii treni uliyoiweka ndio ni ya umeme lkn muundo wake utafikiri zile walizinunua majirani zetu zinazitumia makaa ya mawe hebu badili picha tujadili Uzi wako.Tutarajie miezi michache ijayo usafiri dar moro.je mnafikiri ni kiasi gani itachochea maendeleo ya uchumi nawatu
Nahitaji mawazo yenu
Mkuu hiii ndio ndio ya kisasaMkuu hii treni uliyoiweka ndio ni ya umeme lkn muundo wake utafikiri zile walizinunua majirani zetu zinazitumia makaa ya mawe hebu badili picha tujadili Uzi wako.