iddy eba JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 573 Reaction score 1,176 Apr 27, 2017 #1 Nilipata sikia kwamba katika awamu za mwanzo hizo(hope sikuwa nimezaliwa tiyari) shirika letu la ndege lilikuwa na ndege nyingi zikiwemo BOENG kadhaa, hivi hii ni kweli? Na kama ni kweli hizi ndege ziko wapi kwa sasa?
Nilipata sikia kwamba katika awamu za mwanzo hizo(hope sikuwa nimezaliwa tiyari) shirika letu la ndege lilikuwa na ndege nyingi zikiwemo BOENG kadhaa, hivi hii ni kweli? Na kama ni kweli hizi ndege ziko wapi kwa sasa?
J jabulani JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 5,558 Reaction score 11,766 Apr 27, 2017 #2 zilichinjwa na vifaa kuuzwa.
BigBaba JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,908 Reaction score 9,041 Apr 27, 2017 #3 zilishapaa
iddy eba JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 573 Reaction score 1,176 Apr 27, 2017 Thread starter #4 Duh, nimuelewe yupi sa?
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,359 Reaction score 56,210 Apr 27, 2017 #5 kabla ya kuuliza mambo makubwa uliza mabasi ya wanafunzi yako wapi ukipata jibu copy and paste kwa swali lako
kabla ya kuuliza mambo makubwa uliza mabasi ya wanafunzi yako wapi ukipata jibu copy and paste kwa swali lako
Godee jr JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,910 Reaction score 2,714 Apr 27, 2017 #6 Mi nauluzia mabasi ya Scandinavian tu