Havikubaliki na hapa degree ya huko Greenwich haikubaliki
Vyeti vya NCC vinakubalika wala usihofu, nimesoma hapo IIT NCC Advanced diploma na ninafanya kazi serikalini, wala usitishwe kama unataka kujiendeleza wewe nenda tu.
Nashukuru sana kwa majibu yako mayasa, nitajaribu huko!
jibu lajitosheleza vya kutoshaNenda kaulizie NACTE au TCU, utapewa majibu sahihi zaidi. Hii ya kupata kazi serikalini isiwe kigezo cha cheti kukubalika, kuna watu walishapewa kazi kwa vigezo vya vyeti baadae wakaja kupata matatizo.
And more importantly, you are better off without a certificate (whether recognised or otherwise) BUT WITH KNOWLEGDE AND SKILLS. Angalia kama NCC watakupa unachokihitaji. Omba curriculum zao kwenye hicho unachotaka kukisomea na uangalie taaluma za waalimu.
Kwahio mpaka leo hii bado uko kazini na unatumia vyeti yako vya Ncc kazini?Vyeti vya NCC vinakubalika wala usihofu, nimesoma hapo IIT NCC Advanced diploma na ninafanya kazi serikalini, wala usitishwe kama unataka kujiendeleza wewe nenda tu.
Kuhusu NCC Education programs kwa sasa zina utata.Niliwasiliana na NACTE kanda ya Dar es salaam kuhusu hili. Kuna vyuo viwili vanavyotoa hiyo elimu kwa niaba ya NCC na vinatambuliwa na NCC Education. Tatizo linakuja kuwa NACTE haivitambui hivyo vyuo na wakasema kama hawatambui chuo kile cheti kinachotokana nahicho chuo nacho hawatakitambua.Kwahio mpaka leo hii bado uko kazini na unatumia vyeti yako vya Ncc kazini?
Ni vigumu kutoa ushauri kwa hili. Labda uwapate Power Computers uwasikilize wamefikia wapi kuhusu hili jambo, kama wako karibu kulitatua unaweza kuisoma hiyo NCC kama hawana hakika huenda ikawa vizuri kusubiri.Mimi nilikua nahitaji kusoma program ya ncc kwa sasa hivi una nishauri nini nisome au ni achane na hilo wazo
Mkuu hivi iliweza kupata habari zaidi kuhusu hii nccNi vigumu kutoa ushauri kwa hili. Labda uwapate Power Computers uwasikilize wamefikia wapi kuhusu hili jambo, kama wako karibu kulitatua unaweza kuisoma hiyo NCC kama hawana hakika huenda ikawa vizuri kusubiri.
Apia naomba kujua kuhusu course za foundation certificate yani (nta level3)je bado zinatolewa na vyuo husika?Naskia The open university wanazo course hizo,Ni kweli?Ni vigumu kutoa ushauri kwa hili. Labda uwapate Power Computers uwasikilize wamefikia wapi kuhusu hili jambo, kama wako karibu kulitatua unaweza kuisoma hiyo NCC kama hawana hakika huenda ikawa vizuri kusubiri.
Naomba msaada kakaNi vigumu kutoa ushauri kwa hili. Labda uwapate Power Computers uwasikilize wamefikia wapi kuhusu hili jambo, kama wako karibu kulitatua unaweza kuisoma hiyo NCC kama hawana hakika huenda ikawa vizuri kusubiri.
Nime ku pmNi vigumu kutoa ushauri kwa hili. Labda uwapate Power Computers uwasikilize wamefikia wapi kuhusu hili jambo, kama wako karibu kulitatua unaweza kuisoma hiyo NCC kama hawana hakika huenda ikawa vizuri kusubiri.
Hizi foundation certificate ni tofauti na za NTA levels za NACTE. Hizo mfano wake mzuri ni za NCC Education ambazo humtayarisha kijana kujiunga na vyuo vikuu kadha vya UK.Apia naomba kujua kuhusu course za foundation certificate yani (nta level3)je bado zinatolewa na vyuo husika?Naskia The open university wanazo course hizo,Ni kweli?