..Hivi navyo vinakera basi tu.....

Tabia ya wanaume kuazima gari kwa mshkaji wake ili akatongozee.
 
hayo madongo yamefika kwa wahusika. hongera kamanda
 
SnowBall kuna tabia fulani umenigusa namba(3)!!! Na nitabadilika aisee! Ila nami kuna tabia za nkeraa 1,2,8
 
Last edited by a moderator:
Nshaiona sehemu ilikuwa na heading
"Sifa za mswahili"
Naongezea hii hukuicopy vzr
10. Kujifanya unajua historia ya kila mtu maarufu
11. Kuita watu majina ambayo si yao
"Anti, anko, mjomba,
 
Hiyo namba 1 siitendi lakini nasikia kengere yahatari,nitapambana nayo,thanks
 
hahahahahaaaaaaaa yaani the Boss umenena nachukia sana hii tabia ya wadada kama umeamua kutoa shikamoo toa kwa wote, kama vip piga kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…