Hivi Nape Nnauye ana maana gani hapa?

Ishu sio kafanikiwa akiwa kijana ishu ni uzeeni na tayari amenyea kambi,

Kuna wabunge hata mawaziri wastafu wanaenda kuomba msaada ofisi za bunge


Hajanyea kambi labda kama Wewe ni junior kwny Siasa za Nchi hii hasa za Ccm

Amenyea kambi kwa Miaka 6 iliyobaki sio kunyea kambi Ccm

Rejea ya Mwakyembe baada ya Report ya Richmond 2007 wapo waliohisi kanyea kambi

Wapo waliohisi Bilal kanyea kambi alipobishana na Mkapa na CC 2005

Wapo waliohisi Mzee Mangula hatoibuka tena

Kwa mfumo wa Ccm Rais anaweza kumpoteza Mwanasiasa kisiasa wakati wa madaraka yake tu na si vinginevyo
 
Habarini Wadau,

Nappe ana mtindo sawa kabisa na Mwigulu Nchemba

Kuna picha ambayo Mwigulu Nchemba alipigwa (aliamua kupigwa) akiwa anamkamua maziwa Ng'ombe aliyekonda sanaaa bila kumuonea huruma.

Hali Kadhalika ukiingia katika twitter profile ya Nappe utakutana na picha nyingi zenye ujumbe mbalimbali lakini isiyo open sana

Kuna picha amepost ya kicheche akifurahi na kisha akaandika

''Hamjiulizi Ninajuaje ya Huko? ''

Picha nyingine hii hapa chini naamini nayo ina ujumbe, Mtu amekusudia kumuua mwenzie kwa kumnyonga ilihali wote wana vitanzi, lakini je ni yupi atakayekufa?

CCM Hoyeee...!

View attachment 1152773
Kamati ya roho mbaya....hahahahaaa
 
Back
Top Bottom