Hivi Nape Nnauye ana maana gani hapa?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
25,860
33,469
Habarini Wadau,

Nappe ana mtindo sawa kabisa na Mwigulu Nchemba

Kuna picha ambayo Mwigulu Nchemba alipigwa (aliamua kupigwa) akiwa anamkamua maziwa Ng'ombe aliyekonda sanaaa bila kumuonea huruma.

Hali Kadhalika ukiingia katika twitter profile ya Nappe utakutana na picha nyingi zenye ujumbe mbalimbali lakini isiyo open sana

Kuna picha amepost ya kicheche akifurahi na kisha akaandika

''Hamjiulizi Ninajuaje ya Huko? ''

Picha nyingine hii hapa chini naamini nayo ina ujumbe, Mtu amekusudia kumuua mwenzie kwa kumnyonga ilihali wote wana vitanzi, lakini je ni yupi atakayekufa?

CCM Hoyeee...!

D_KdSLaW4AE24Zg.jpeg
 
View attachment 1152773
..Mwaga Ugali nimwage Mboga...
 
Nape bichwa kubwa akili kisoda ,tangu apigwe chini anaonesha chuki ya wazi

Uko sahihi kabisa kwamba Nape anachofanya ni unafiki baada ya kutolewa kwenye ulaji. Lakini hata huyo aliyemtoa sio bora kwa hivyo zaidi ya kufanya siasa za chuki na uhasama. Hivyo wamekutana mnafiki na dictator uchwara, lazima pachimbike.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lissu the GREAT aliwaonya kwamba akimalizana na sisi atawageukia nyie. Sasa yametimia inakula kwenu. Chezeya nduli na dikteta Mkuu.

Issue za kawaida kwenye Siasa hizo Mkuu labda kama Wewe ni Mgeni

Nyerere Vs Kambona

Chiluba vs Mwanawasa

Jk vs Lowassa

Thabo mbeki vs Zuma

Zuma vs Malema

Mbowe vs Zitto

Cheyo vs Jidulamambasi

Bakili muluzi vs Bingu wa Mutharika

Rais wa sasa Angola vs Dos santos

Ukiwa mfuatiliaji wa Siasa huhitaji kuwa Mfuasi wa maneno ya Lissu kuyajua hayo
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom