Hivi nani ni Polisi wa Polisi!?

Hivi nani ni Polisi wa Polisi!?

Joined
Jun 19, 2014
Posts
42
Reaction score
76
Ni nani anayechunguza polisi anaponyanyasa raia?
Ni nani anayemhoji polisi anapopoteza ushahidi au kupokea rushwa?
Ni nani anayemwambia polisi kwamba “hapo umevuka mipaka”?
 
Nchi yetu inahitaji katiba mpya, pengine hata kikosi kipya kuanzishwa kma cha FBI ni kisiwepo under influence ya Raisi, na wanachaguana wenyewe kupitia councils zao.
 
Nchi yetu inahitaji katiba mpya, pengine hata kikosi kipya kuanzishwa kma cha FBI ni kisiwepo under influence ya Raisi, na wanachaguana wenyewe kupitia councils zao.
Na Wanasiasa hiki kijitegemee hata mishaara wajilipe kama taasisi nyingine
 
Back
Top Bottom