tueur de lion
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 902
- 782
Habar za weekend ndugu zangu katka imani.
Husikeni na kichwa cha habar hapo juu.Mm ni Mtanzania mwenzenu na kuna jambo limekuwa likinisumbua sana...,nmekuwa nikiwauliza Watanzania tofautitofauti kuhusiana na Mkulu anavyotuongoza na Sera zake kwa ujumla,wengi wanadai hawakumchagua.
Sasa nawauliza tena waungwa...kama sisi/ninyi hamkumchagua je ni nani aliyemchagua?
Mkwapa sio jeykeyJei Kei na kundi lake
Mkwapa sio jeykey
MIMI + WATANZANIA 7000000+Habar za weekend ndugu zangu katka imani.