Ukiangalia watu ktk Agano LA Kale walivyoishi ni kama mababu zetu kabisa. Wafalme walioa wake wengi, mahawara kibao,kinywaji kwa kwenda mbele ,ngoma na sherehe kibao na Mungu aliwapenda na kuwabariki though waliua na kuwanyanganya wenzao wake zao hivyo hata mababu zetu watahukumiwa kama hao kina Suleiman, Daudi ambao waliishi kabla ya Yesu kuja.Watahukumiwa kwa kuzingatia miongozo ya jamii yao ya wakati huo